This is the best alternative ambayo hata mimi i'd always go for. Yani hii unam-torture saikolojia yake yanii. Anaweza commit hata suicide kama ana roho nyepesi.Usigombane na yeyote....jiondokee zako tu![emoji57][emoji57]
This is the best alternative ambayo hata mimi i'd always go for. Yani hii unam-torture saikolojia yake yanii. Anaweza commit hata suicide kama
Naunga mkono🤝Usigombane na yeyote....jiondokee zako tu!😏😏
Ivi kiuhalisia, kama mtu anamla mkeo ukimuambia "achana na mke wangu". Hivi kweli kuna uwezekano ataachana nae? Naomba mwenye uzoefu katika hiliKihasira waweza fanya maamuzi kiasi flani ili wadau
Wasikuone umezubaa sana, hasa Kama umemfumania mgeni ambaye humjui hapa lazima busara itumike,lakin kuna yule ambaye ushamuonya Mara kadhaa
"Achana na mke wangu" lakin mchizi akaendelea huyu lazima maamuzi magumu yafanyike
[emoji23][emoji23] nacheka ila sio mazuri,Ivi kiuhalisia, kama mtu anamla mkeo ukimuambia "achana na mke wangu". Hivi kweli kuna uwezekano ataachana nae? Naomba mwenye uzoefu katika hili
Kuna mwingine anaweza kuwa kaoza kwa mkeo,au ni sehemu ya kukukomoa,lakini pia aidha anakuchukulia poaIvi kiuhalisia, kama mtu anamla mkeo ukimuambia "achana na mke wangu". Hivi kweli kuna uwezekano ataachana nae? Naomba mwenye uzoefu katika hili