Siku hizi hawapendi fedha wala mali bali saizi ya mashine

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Wadau,

Tufanye kuteta kiume (hata wakija hatujali). Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake hawajali kuhusu uwezo wako wa kifedha, u-handsome, au misuli tuliyo nayo...bali saizi ya mashine tu. Utasikia;
1.Ana hela sana ila kibamia, siwezi kuwa naye
2.Usimwone alivyo handsome, ana kibamia siwezi kuwa naye
3.Usione misuli yote ile, ni kibamia

Na hili linasababishwa na ukweli kuwa wanawake wengi siku hizi wanajimudu kifedha hivyo hawaitaji fedha kutoka kwa wanaume.

Daaah,,,wadau mna mawazo
 
Wadau,

Tufanye kuteta kiume (hata wakija hatujali). Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake hawajali kuhusu uwezo wako wa kifedha, u-handsome, au misuli tuliyo nayo...bali saizi ya mashine tu. Utasikia;
1.Ana hela sana ila kibamia, siwezi kuwa naye
2.Usimwone alivyo handsome, ana kibamia siwezi kuwa naye
3.Usione misuli yote ile, ni kibamia

Daaah,,,wadau mna mawazo
Hiyo sentensi namba 1 haijawahi kutamkwa na mwanamke tangu kuumbwa kwa dunia hii. We uliisikia wapi mheshimiwa?
 
Back
Top Bottom