Unawezaje kujifunza kumpenda mtu?

Unawezaje kujifunza kumpenda mtu?

Simple mpe muda wako tuu..mfano kutoka kwenda sehemu mbali ata za burudani ,afya, michezo ,dini

Maliza kwa mawasiliano unlimited simu zisizo chosha utani
 
Huo muda wote ampe ili yeye abakiwe na nini, huo ni utumwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom