Nataka kumvisha Pete ya Uchumba kwa surprise

Nataka kumvisha Pete ya Uchumba kwa surprise

Enlightening

Senior Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
167
Reaction score
173
Wakuu naomba kupewa muongozo,

Ninahitaji kumvisha Pete ya uchumba mchumba wangu ila nilihitaji kumsurprise. Naomba kujua ni mazingira gani na wanafanyaje kama ni kimvisha hiyo Pete ya Uchumba nae ni lazima anivishe papo hapo?

Naomba kujua kwa wenye kujua haya mambo
 
Hongera mkuu na Mungu awatangulie kwa kila hatua mnayoipiga.

Hivi unauhakika kuwa yuko tayari (yeye)?usijikute unajipanga maskini ya Mungu kumvisha pete kumbe hakuwa siriazi anakuja kukuumiza na hiyo sapraizi (ninawaza tu)

Ila fanya yote,lakini usipige magoti 😅😅😅(kidding)
 
Kutegemea na budget
Hata ukimsupraiz chumbani inatosha
Na Pete itaonekana na Watu watajua

Hebu jitie uzungu halafu mpigie goti stand ya mabasi halafu ajibu No..[emoji1787][emoji1787][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Mambo ya msingi.

Wazazi pande zote mbili wawepo, uchumba wenu utakuwa na faida, surprise itanoga
 
Ngoja hapa niwe mpenzi msomaji....😎😎
 
Hongera mkuu na Mungu awatangulie kwa kila hatua mnayoipiga.

Hivi unauhakika kuwa yuko tayari (yeye)?usijikute unajipanga maskini ya Mungu kumvisha pete kumbe alikuwa hakuwa siriazi anakuja kukuumiza na hiyo sapraizi (ninawaza tu)

Ila fanya yote,lakini usipige magoti [emoji28][emoji28][emoji28](kidding)
Mkuu yupo tayari hakika
 
Kutegemea na budget
Hata ukimsupraiz chumbani inatosha
Na Pete itaonekana na Watu watajua

Hebu jitie uzungu halafu mpigie goti stand ya mabasi halafu ajibu No..[emoji1787][emoji1787][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Haahaa sawa mkuu Ila yupo tayari
 
Hongera mkuu na Mungu awatangulie kwa kila hatua mnayoipiga.

Hivi unauhakika kuwa yuko tayari (yeye)?usijikute unajipanga maskini ya Mungu kumvisha pete kumbe hakuwa siriazi anakuja kukuumiza na hiyo sapraizi (ninawaza tu)

Ila fanya yote,lakini usipige magoti 😅😅😅(kidding)
😂😂😂 Magoti na kulia awaachie wakina mc pili pili😂😂😂
 
Mimi sijaelewa hapo Kwenye kukuvisha wewe...!!🙄

Enwei kila la kheri
Na Mimi ninachojua anavishwa mwanamke, kuhusu mwanaume🤔🤔🤔 au Mimi ndo sieleweki😂😂
 
mkuu mwekee kwenye maji ya kunywa... kama kwenye kal hoo na ho 😂
 
Back
Top Bottom