Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nianze kwa kutanguliza salamu Nina imani kubwa kuwa umesikia kihusu maswala yahusuyo nyota ya binadamu mara nyingi.Swali la msingi apa ni kuwa kuna uhalisia wowote katika hili. Imani yangu ni...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Tuweke vituko vya watoto wetu hapa ambavyo wewe kama mzazi ulimuona au unaona mtoto wako anafanya. Chaweza kuwa cha kuchekesha au kukufanya ufikirie tu kwa nini mtoto wako kafanya hivyo . Mi...
2 Reactions
28 Replies
12K Views
Baadhi ya waathirika wa mapenzi ya uonevu wengi wao wakiwa wanawake, huwa na tabia ya kuwarudia wapenzi wao waliowapiga au hata kuwaumiza kabisa bila kujali matokeo ya mahusiano hayo mabovu. Ni...
10 Reactions
244 Replies
19K Views
Habari wadau, "Travelling turns a stranger into a story teller" Leo nimeona nilete some ideas humu jamvini nione muamko na muitiko na vile vile niangalie ni namna gani hili suala litapokelewa na...
11 Reactions
234 Replies
22K Views
Habari zenu wanajamii? Mimi kwa wasifu ni: ke, mid thirties,no kids, never been married Positives: Easy going, friendly, "Ok" looking, very independent** Negatives: Selfish,Uncompromising...
5 Reactions
105 Replies
8K Views
Jamani tuwekane sawa kidogo kwene haya mambo mawili matatu Sio kwamba una depression ila hauna hela, kimezuka kitabia flani mtu akiwa hana hela anajieka sura ya huzuni yaani kama ana msongo wa...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
one day When i was looking through my email account that I just got back after my boss AGED 56 stole it, I found something that made me wonder what different views are. When it comes to teens...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi. Umeenda kuhemea chakula cha familia...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu level ya degree. Yapata miezi 6 sasa siongeai kabisa na baba yangu kisa tu alinifukuza nyumbani...
8 Reactions
139 Replies
13K Views
Ni kama mwaka niko katika mahusiano na huyu jamaa. Kiukweli tumeanza mahusiano akiwa na ndoa yake japo ilikuwa na misukosuko kadhaa na nadhani ndo sababu ya kumhurumia; naomba msinishambulie...
30 Reactions
588 Replies
37K Views
Utakuta mtu humpendi alafu yeye anakupenda kupita maelezo, huwa ni kero kubwa sana, anakuganda anapiga simu mfululizo kama umemchukulia maini yake, ukimblock anakutafuta kwa namba mpya anaandika...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Nipo hapa saloon nimemleta biharusi saloon anaolewa leo kama mjumbe wa kamati kuu 😂😂😂😂 Katika kupiga piga Stori na mwali hapa saloon naona Hadi huruma Money Penny: mkwe wangu, unapenda Mungu...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
ni mwaka wa tatu sasa tangu nilipokutana na huyu binti na kuwa nae ktk mahusiano lkn mda wote niliokuwa nae hakika sikuwahi kumwambia kuwa kuna siku tutaoana lkn kadri siku zilivyosonga mbele huyu...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Wakuu, Hali inatisha, Mimi ni member wa Tinder japo sijawahi kuchakata mtu kule zaidi ya kuwazingua tu, sasa pitapita zangu nikaona member ana profile ya mke wa rafiki yangu kipenzi. Nikamzamia...
16 Reactions
78 Replies
13K Views
Embu tukukane hapa ndugu zangu, nini kilikukuta na ulichukua uamuzi gani baada ya kukagua simu ya mpenzi wako. Mimi nlikua nimeenda msalimu kwake kwa “Suprise” nkakuta mlango umeegeshwa tu...
4 Reactions
119 Replies
10K Views
Loyal dog continues to attend mass at church where owner’s funeral was held By Dylan Stableford, Yahoo! News | The Sideshow – 13 hrs ago Tommy at Santa Maria Assunta church (Nikonarte...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimesituka baada ya kusikia bibie 'pichani' akitoa wasifu wake kwa kusema yeye ni mke wa mume mmoja.Najiuliza ni tamaduni ipi hapa duniani inayoruhusu mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kujua hii chocolate ina maana gani katika mahusiano maana nimeletewa kama zawadi na mpenzi wangu leo na kanificha maana halisi ya hii kitu. Kanambia ina maana kubwa sana...
5 Reactions
44 Replies
10K Views
Natumai hamjambo wananzengo. Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu. Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa...
2 Reactions
67 Replies
14K Views
Wakuu mambo vipi..,, Wakuu me nikiwa na mama lao hasa weeknd hapo kazi zote zimekwisha tumekula tumeshiba ndii.. Hapo pembeni tunapiga drinks tupo kwa bed, huwa tucheza karata na mamiloo aisee...
23 Reactions
97 Replies
10K Views
Back
Top Bottom