Ukiona mtoto wa kiume anaoa mapema ujue mwanamke anamtawala

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Hiyo ndio ilivyo...umemaliza chuo or wateva...umepata kaz au ka ajira mambo si mabaya...faaasta utaona vijana wanaoa...

Sasa mim nkajiuliza..hiv moyo wa kuoa mapema hiv wanautoa wap.mbona mim sina

Kwanza wazaz weng huwa hawapend watoto wao wa kiume waoe mapema ...hapo ndo ujiulize

Ni hiv wazaz weng hawapend kijana wao ambae kaanza maisha na ana kamshahara aoe...bisha ila huo ndo ukwel

Sasa ukiona jmaaa anaoa mapema.ujue demu wake au mwanamke wake yuko juu yake....habar ndo hyo...yaaan ana mcontrol na ndomana amelazimisha na kuweka mazingira mwana aoe

Enewei...leo mvua hii mida ya saa 3 ndo niko mwenge mataa mani.na...nkahairisha..waseme wasiseme..nikaenda piga U turn moja ya ajab makumbusho na kuelekea Hongera baa kupata chochote kitu na sasa nmerud zangu home hapa....

Well.siku ya leo naona nifanye usafi tuu hakuna namna..

Uzi tayar...
 
Nimekuelewa hapo kwenye uturn na mvua hii ni kama umeteseka mkuu...
Ingia chimbo tu ujikamatie mtoto asubuhi hii. Tumia mitandao vizuri wala hauwezi kuteseka na mvua hii....

Natania tuu usichukulie maanani maandishi yangu hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto nilikua nae weekend yote..kuanzia ijumaa had jpill..sina genye hata 1
 
Back
Top Bottom