Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu kwa Sasa watoto wanaharibika sana so Lipi ni Bora Mzazi uwe Nunda au ukubali watoto wawe friendly yaani uwadekeze wasikuogope na Dunia ya Leo wanaweza Kuharibika fasta
Wazazi mliozaa nyinyi mnawaleaje watoto wenu? Je ni wale ambao Watoto wanaweza kuja nyumbani kwako na Ma boyfriend zao straight mpaka vyumbani mwao au? Yepi Ni Malezi Mazuri Kuwa Kauzu au Uwe friendly.