Kabla na baada ya kufanya tendo la ndoa, ulitarajia nini na ulikuta nini?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Vile ambavyo mabraza na watu mbalimbali walivyokuwa wanasimulia kuhusu mgegedo, hasa kusifia kwamba hakuna kitu tamu kama ile basi walikuwaga wananitamanisha sana, enzi hizo mimi bado kabisa kwenye ramani ya sex yaani nilikuwa nawaza hata nitampata nani wakuweza nipa ile kitu namimi nionje nijionee mwenyewe..basi siku ikaja nikampata, ile siku tupo njiani tunaelekea safari nilikuwa naiona ndefu yaani naona kama vile hatufiki.

Aisee sio poa kabisa ile siku kwanza ile kabla ya kupanda kitandani mie kijasho kinanitoka nikifikiria kwamba leo napewa kitu kitamu kuliko vyote duniani..

LA hasha nilichokuwa nafikiria sio wala nilichokutana nacho yaani nikaona kawaida tu hata ile utamu uliokuwa unaongelewa wala sio niliokuwa nafikiri nitaukuta..

So kwangu mimi mda huo wazo lililonijia ni kwamba sex ilikuwa overated kupita maelezo..

Sasa tuambie wewe ulipata picha gani kabla na utuambie baada
 
Mtu unakuta umeihangaikia pisi kali na umeingia gharama kweli kweli. Baada ya kudinya ndo sasa unajiona boya balaa kwa sababu kimsingi hakuna kipya ulichokipata. Nakubaliana nawe kabisa 100%
Lakini unajua kuwa raha ya penzi ni jinsi ulivyokuwa umeuwandaa mwili wako siku tatu nne nyuma na jinsi utakavyotumia muda kumwandaa partner wako to drive her to the right mood yakufanya hilo tendo?

Wengi wetu kama tunakutana na mwanamke fulani kwa mara ya kwanza sexual hormones zinakuwa high stimulated na mwili unakuwa so aroused? Kwasababu tunashindwa kubalance pressure towards sex, performance inakuwa ya haraka na kuchoka mapema. Mwisho wasiku ndio hayo oh "niliyoyategemea sio", "sex is overrated"
 
Back
Top Bottom