Habari wakuu.
Je, itokee mtu awe na mahusiano unayoyatilia shaka na wako mke/mpenzi na wewe ukamtafuta kumkanya na kumtisha either peaceful or whatever ni sahihi?
Na kabla ya kufanya hayo yote...
Former high-class escort who slept with 10,000 men reveals what clients REALLY wanted
Privately educated Gwyneth Montenegro said she is glad to be out of the sex industry after 12 years, which saw...
Siku ya leo nimewaza mbali kuhusu mpenzi wangu nampenda lakini pia mpenzi wangu ananipenda pia lakini hofu nilionayo tutaachana na mpenzi wangu maana sina uhakika kama kweli
1. Ataweza kuvumilia...
Joyce kaongelea kitu ambacho wanawake wengi tunafanya. Unajikuta unampenda mwanamke kwa moyo wako wote na yeye anakudanganya anakupenda unaingia mkenge unatangaza na ndoa.
Watu wanajiuliza sana...
Mtandao wa MenCare uliwahi kuwahoji washirika wake 100 wakiwemo akina mama, akina baba, wanaharakati na watafiti katika malezi kutoka nchi 50 kutoa ushauri kwa wazazi wakiume. Mambo manane...
Habari ya leo wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye maada. Watu wengi wakishamaliza kuezeka nyumba zao huhamia. lengo la wengi huwa kukwepa kodi huko watokako. sasa changamoto huja wakati wa...
Mimi ni baba wa watoto wanne mama tofauti tofauti na niliowapata nilipokuwa kwenye harakati za kutafuta mchumba ili awe mke wangu kwenye historia yangu niliwahi kuwa na mwanamke niliempenda sana...
Unakuta anasema yule hafai kuwa mke ukisikia sababu ni nini hajui kukatika kitandani, really dunia inakwenda kwa Kasi Sana kwenye suala la kuoa wanaume hawangalii tabia wanangalia mkatiko asee...
Jamani mm nina umri wa miaka 23 na nimetunukiwa shahada yangu mwaka jana tu, lkn bado suala la ajira ya kujiajiri ama kuajiriwa halijakaa sawa.
Lakini kinachonipa kero ni usumbufu ninaopata mimi...
Kwa ufupi
Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.
Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta...
Hello, everyone
Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe...
1.Usimwamini mtu uliyemjua ukubwani.
2.Anayejifanya ANAKUPENDA SANA chunguza upendo huo kwa makini
3.Anayekuletea HABARI fulani kasema hivi fikiria YEYE alisema nini?
4.Usitegemee mtu akatunza...
Vilio vya kupigwa mizinga kwa wanaume vimekuwa vingi sana siku hizi, mi nabaki nashangaa tu. Mbona mi sipati hao Mademu wa mizinga kiasi cha kuona kero? Nimedate na Mademu kadhaa na wote ni...
Leo hakuna cha salamu,,ntawasalimu ata mwakani..
Nasemaje yaani ndiyo maana napendaga kugegeda wamama kuanzia miaka 35 na kuendelea uko, wanakuwaga romantic kinyama pia mixer maneno matamu...
Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa...
Niaje niaje ladies & gentlemans ...
Ni mitano tena lazima tutoboe au sio mazee.
kila mwanadamu aliyekamilika akishafikia umri fulani wa kujitambua na kujihandle anahitaji Rafiki au Mtu wa karibu...
Habari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona...
Kwanza tukubaliane kuna tofauti kati ya kuhonga na kumpa mwanamke vitu. Ufafanuzi:👇👇
Kuhonga ni kutumia vitu kama pesa,vitu vizuri vya anasa kumshawishi mwanamke ili kutimiza lengo lako.
Kumpa...
Natumai hamjambo wakuu,
Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri.
Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa...
Habari zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu.
Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye...