Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Chapakila

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
291
Reaction score
1,439
Embu tukukane hapa ndugu zangu, nini kilikukuta na ulichukua uamuzi gani baada ya kukagua simu ya mpenzi wako.

Mimi nlikua nimeenda msalimu kwake kwa “Suprise” nkakuta mlango umeegeshwa tu alitoka kwenda kununua kitu shop Ndio sababu aliyonipa pindi aliporejea, aliacha simu kwenye charge nkaperuzi chap nkakuta message za kawaida isipokua moja ya malalamiko, jamaa alikua ana hoji kwanini alikua hayupo sawa Kama siku zingine kwenye mgegedo ohooh, chap nkafanya survey ya chumba nka kagua kagua bafuni na sehemu zote ntakazo pata evidence hadi kwenye sehemu anapokusanya taka taka (dustbin) nkakutana na kipisi cha condom iliotumika.

Hapo ndipo nkishiwa nguvu na kusema hawa shetani wadogo hawana huruma kabisa. Mpaka leo nkikumbuka nashtuka umpya sikutegemea kama nako kana ujanja ujanja mana kalikua kapole na kamcha Mungu Kweli Kweli nkajua nakula peke angu.

Nanukuu: kama demu wako anaishi kwake piga kifua mara 3 kisha nawewe mwaga yaliyokusibu baada ya kuperuzi simu ya mpenzi wako

TWENDE SAWA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ushauri tu, naomba usimwamini demu yeyote katika maisha ya mapenzi kuwa hawezi kukusariti maana wanawake hawajulikani wanataka nini katika maisha.

Ikibidi hata utakapo oa usije kumpa asilimia 100 uko peke ako,,

Wanawake wa peke ako nahisi waliisha kipindi cha vita ya Idd Amin .

Niushauri tu mjomba usinichukie.
 
Kabisa kamanda mimi nliamini ni wangu peke angu mzee wala nlikua siwazagi kama anaweza fanya ivo alooo Ndio yakanikuta hayo
 
Binadamu bhana...sasa wewe umekuta kipande cha condom unalalamika..
Kama ungekuta sms kuwa analalamika kupiga game dry na anamshaka na afya yake ungefanyaje!!

Jombaaa jipige kifua cha ushindi mlokole wako anaijali afya yake na yako pia.

Usifikiri na sisi hatusikii ngeye babu we..
Hakuna mwanadamu asiyesaliti...hilo weka akilini🥂🥂
 
Mbona hata nyie wanaume mkiishi peke yenu mambo ni hayo hayo.

Hata hivyo sio kila mwanamke ana ujasiri wa kuingiza mwanaume asiye mpenzi wake ndani na kulala nae, ni ujasiri wa aina yake.

Kwa mwanaume ni kawaida na hakuna mwanaume rijali na inafahamika Ila tatizo nyie siku hizi mmetuzidi hadi sisi na matukio hayo, swali wewe hujawai leta mwanaume kwako tofauti na mpenzi wako?
 
Utakuta sifa ya upole, ukimya, lakini funua nyuma ya pazia hapo ndo utajua kwanini kitanda hakizai haramu.

Nlibaki mdomo wazi afu jamaa linalalmika kabisa Kwanin hatoi ushirikiano kama siku zingine
 
Binadamu bhana...sasa wewe umekuta kipande cha condom unalalamika..
Kama ungekuta sms kuwa analalamika kupiga game dry na anamshaka na afya yake ungefanyaje!!

Jombaaa jipige kifua cha ushindi mlokole wako anaijali afya yake na yako pia.

Usifikiri na sisi hatusikii genge babu we..
Hakuna mwanadamu asiyesaliti...hilo weka akilini[emoji1635][emoji1635]

Sawa lakini sio vyema kufanya hivyo kwa mwanamke, mwanamke ni kujisitiri aisee
 
Binadamu bhana...sasa wewe umekuta kipande cha condom unalalamika..
Kama ungekuta sms kuwa analalamika kupiga game dry na anamshaka na afya yake ungefanyaje!!

Jombaaa jipige kifua cha ushindi mlokole wako anaijali afya yake na yako pia.

Usifikiri na sisi hatusikii genge babu we..
Hakuna mwanadamu asiyesaliti...hilo weka akilini[emoji1635][emoji1635]
Rafiki umeshaanza kuishi nyumba moja na yule nusu rafiki yako?[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom