kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Vilio vya kupigwa mizinga kwa wanaume vimekuwa vingi sana siku hizi, mi nabaki nashangaa tu. Mbona mi sipati hao Mademu wa mizinga kiasi cha kuona kero? Nimedate na Mademu kadhaa na wote ni classic lakin sio wapiga mizinga hata kidogo, unaweza ukakaa hata mwezi asikuombe hela, na nipo naye close sana.. means katika mwezi possible siku 20 tunalala pamoja, means anakuja kwangu na anaondokea kwangu kwenda kazini kwake. Na akija ghetto atapika, atafua, atadeki n.k
Mahusiano yangu na mabinti huisha pale ninapoamua mimi, na huwa sio rahis maana huwa hawako tayari kuvunja mahusiano. Na huwa navunja baada ya kujiridhisha baadhi ya vitu ninavyovipenda hana baada ya Kuishi naye kwa muda kadhaa,lakini sio kuombwa ombwa hela ovyo.. japo huwa natoa hela bila kuombwa ila sio kiwango cha kunifanya eti hadi nilalamike.
Nilichokuja kujifunza, ni kwamba sio kweli Wanawake wanapenda sana pesa ila ukweli ni kwamba kama hakupendi ndo labda nahisi wanaomba sana pesa, maana wanawake niliodate nao walikuwa wananipenda na of course huwa sipati kabisa huo usumbufu wa kuombwa ombwa pesa ovyo.
Pia, mwanaume ukiwa muungwana, yaani haucheat, upo smart kichwani, unajiheshimu, huna scandal, mpole na msafi. Wanawake waswahili waswahili wakuomba omba hela ovyo huwezi kuwapata, utakuwa connected na wanawake wenye akili, wenye shughuli rasmi ya kufanya na kuwaingizia pesa, wenye malezi bora kutoka kwa wazazi wao,waliosoma na kuelimika kutokana na elimu waliyoipata.. kundi hili la wanawake hata wakiumizwa wana msingi wa kuwafanya warudi kirahisi kwenye mstari.
Ila nadhani hivi vinawake vinavyopretend maisha na viko vingi sana humu JF ndo vidangaji vikubwa na vipiga mizinga.
MWANAUME MWENZANGU ACHA KUTUMIA PESA KAMA KITU CHA KUMFANYA MWANAMKE AFURAHI, MWANAMKE ANAYEKUPENDA ATAKUFURAHIA WEWE NA SIO PESA ZAKO, .
Maana kila atakapokasirika itabidi umpe pesa, una pesa kiasi hicho? Na je unajua atakasirika mara ngapi kwa siku? Kwahiyo kila atakapokasirika utampa pesa afurahi? Utaweza? Na ili asikasirike si itabidi umpe anachotaka kila anapohitaji, upo tayari kwa hilo? Hebu fikiria mama yako mzazi unampa furaha kiasi hicho? So upo tayari mwanamke,kahaba aliyeshindwa kujitegemea akutegemee wew na hata ndoa hamjafunga? Ukawaacha wazazi na ndugu zako wateseke hela uhonge,una akili timamu kweli?
By the way sikupangii matumizi ya pesa yako ila fikiri vizuri.
WANAWAKE WENYE MAPENZI YA KWELI NA SIO YA PESA WAPO TENA WENGI SANA.