Mke wa mume mmoja

Mke wa mume mmoja

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Nimesituka baada ya kusikia bibie 'pichani' akitoa wasifu wake kwa kusema yeye ni mke wa mume mmoja.Najiuliza ni tamaduni ipi hapa duniani inayoruhusu mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

Sote tunafahamu hata mila zetu zinaruhusu kuwa na mmke zaidi ya mmoja kasoro Roman Catholic.

Naomba kujuzwa hasa ukizingatia huyu mdada ni Mtz.

IMG_20201120_163423.jpg
 
Kwa uelewa wangu naomba nitofautiane nawe. "Labda alimaanisha mke mmoja kwa mumewe!" Kwa maana kwa waislam tunaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, hivyo kwa mumewe yeye yuko pekee.
 
Baadhi ya ke huwatengenezea dawa waume zao wakitoka nje hawadindishi
 
Kwa uelewa wangu naomba nitofautiane nawe. "Labda alimaanisha mke mmoja kwa mumewe!" Kwa maana kwa waislam tunaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, hivyo kwa mumewe yeye yuko pekee.
Naunga mkono
 
Kasoro Roman Catholic,,, kwahiyo wakristo wengine wanaruhusiwa kuoa wake wengi?! Acha umama wewe
Mie ni RC hivo sina ufahamu ya Ukristu kwengine. Kwani mkuu si unashuhudia jinsi utitiri wa mahubiri kwa kumtumia Yesu Kristu ulivoshamiri duniani?
 
Kwa uelewa wangu naomba nitofautiane nawe. "Labda alimaanisha mke mmoja kwa mumewe!" Kwa maana kwa waislam tunaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, hivyo kwa mumewe yeye yuko pekee.
Nadhani pana 'you tube' ya mahojiano haya itafute. Alisema 'MIE NI MKE WA MME MMOJA'. Nimesisitiza hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom