Hili linanishangaza sana wadau...

Hili linanishangaza sana wadau...

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,299
Reaction score
1,804
Unakuta anasema yule hafai kuwa mke ukisikia sababu ni nini hajui kukatika kitandani, really dunia inakwenda kwa Kasi Sana kwenye suala la kuoa wanaume hawangalii tabia wanangalia mkatiko asee.

Binafsi Mimi mwanamke akionesha maskills mengi kama Neymar Jr. huyo namuona mjinga Sana kwangu na sio kigezo cha kumuoa.

Nataka mwanamke atayenipa channel ya maisha how to earn money and to progress sio kutwa mahaba sio mgegedo kila siku huyo piga chini fasta , point napenda mwanamke asiyependa ngono ndo maana naelekea kuchukua wife Waisrael wa Tanzania wachaga hawa Dada wapo busy na maisha tena wapo seriously haswaaa.

Sio mke wa kutazama tamthilia kila kutwa lazma awe mpambanaji kuna leo na kesho. Sio mwanaume anajitamba yule ni gogo kitandani hajui kitu mwanamke ni skills za maisha sio hizo mbwembwe nyingi plus ujinga full stop nimeandika kwa jazba sana ila message sent
 
yote hii woga wa maisha.
Pambana mkuu mwanamke hawezi kukutoa kimaisha, Usichopenda wenzio wanapenda
Btw ukishaoa Mchaga ukichoka kugeuza gogo ndanda cosovo wapo kwa ajili yako...kula hizo hela mnazochuma na mchaga.

Kila ka Kheir Mkuu
 
Wew kabila halitoi tabia ya mtu.
 
yote hii woga wa maisha.
Pambana mkuu mwanamke hawezi kukutoa kimaisha, Usichopenda wenzio wanapenda
Btw ukishaoa Mchaga ukichoka kugeuza gogo ndanda cosovo wapo kwa ajili yako...kula hizo hela mnazochuma na mchaga.

Kila ka Kheir Mkuu
Atuowi sasa😎
 
Yupo mwanaume anayesema anahitaji mwanamke mwenye heshima,utu,anayemjua Mungu na mazaga zaga ya chumbani

Kuhusu akili za maisha anakwambia watatumia zake(mwanaume)

Ni suala la nani anapenda nini
 
... ahahaaa, mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu..

Acha uoga mzee,kumuhudumia mwanamke ni jukumu la mwanaume no matter,mwanamke ni kitulizo chetu na ndo ukamilifu wetu upo apo.
 
Katika maisha ya ndoa sitakurupuka hata kidogo ni afafhali niishi bila make kuliko kuingia katika majuto yasiyo kwisha
 
Back
Top Bottom