Chocolate ina maana gani kwenye mahusiano?

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari wakuu, naomba kujua hii chocolate ina maana gani katika mahusiano maana nimeletewa kama zawadi na mpenzi wangu leo na kanificha maana halisi ya hii kitu. Kanambia ina maana kubwa sana katika mapenzi namimi.

Sijui imekaaje hii kitu naombeni msaada tafadhari
 
Aliyekuletea ni yule mwenye wivu ambae ana broke jamaa zako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah na hapa keshanuna kakuta nitumia simu kumbe nilikuwa napost huku akajua nachat na mtu nkatoa haraka haraka kamind dah mitihani hii
 
Hahaha
 
Mbali na upendo, ndani ya chocolate wanasema kuna kitu kinapatikana ambacho ni kitulizo cha akili kinaburudisha na kuondoa negative thought. Si mara ya kwanza kusikia ni bora kutumia chocolate kwa ajili ya kuburudisha akili kuliko kilevi chochote.
 
Masukari tu Yale Don....
 
Back
Top Bottom