Nimekutana na mke wa rafiki yangu kipenzi Tinder, anajiuza. Ametaka nimpe 200k ili nimgegede kwa mapigo mawili

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
1,025
1,905
Wakuu,

Hali inatisha, Mimi ni member wa Tinder japo sijawahi kuchakata mtu kule zaidi ya kuwazingua tu, sasa pitapita zangu nikaona member ana profile ya mke wa rafiki yangu kipenzi.

Nikamzamia inbox, nikiwa na mawazo inawezekena sio yeye labda anatumia picha fake kama mimi. Akanipa ushirikiano wa kutosha huko inbox kwa customer care ya hali ya juu sana Dear, Dear, mpenzi, baby yakawa ndio majina yangu, katika kunagotiate nae bei tukakubaliana nimpe 200k kwa bao mbili kutoka 250k aliyotaka awali, Kidume nikapandishia dau mpaka 400k ili atoe tigo hapa alikataa katakata japo nilitumia mda mwingi kubergain nae anipe tigo hata kwa gharama kubwa zaidi ya hiyo

Baada ya kukataliwa offer ya tigo, nikaomba namba ili tuonane akasema nimpe yangu. Na mimi kwa vile nilikuwa na mashaka nae nikampa namba nyingine kabisa isiyo na usajili wangu. Dakika kadhaa naona meseji kwenye simu yangu kwa namba mpya ya airtel.." Hi, Its me, uko tayari nichukue uber nije"? . Nikampandia hewani, Nikahisi Sauti ile ni ya shemeji yangu kabisa.

Nikampanga mshikaji wangu mmoja ambaye sio muoga linapokuja suala la kuchakata wanawake, yeye hamjui, tukampa location ya hotel na sisi tukachoma mafuta kuelekea ile mitaa. Nilishampanga mshikaji akifika amlipie nauli then wapate kinywaji na amueleze amepata simu ya dharula nyumbani kwa hiyo ana stress hawezi kufanya mapenzi tena, na kwa hekima ameona amngoje ili amueleze wakutane baadae kuliko angemsitishia mawasiliano bila taarifa.

Kufika ile mitaa, jamaa akaenda pale hotelini, mimi nikawa nimepaki karibu na hapo macho kodo kabisa, mda mchache mwanamke nae anafika, haaa:oops::oops:, ni yeye bhana..! nashukuru jamaa hakuniangusha alicheza kama perre na baadae akampa pesa ya kurudia tukaondoka, mda wote sikumwambia chochote huyu jamaa kuhusu huyu mwanamke kwamba namjua ili kuondoa maneno kuzagaa ambapo yanaweza kuleta shida bali nilimwambia sijawahi kumuona na ndio naenda kuonana nae leo na yeye kwa vile anajua mimi sio mkwonge kwenye industry hiyo wala hakuwa na wasiwasi.. Sasa sijui kama atamgonga kwa mda wake maana ni mzuri sana na mawasiliano yake tayari anayo.

Namhurumia sana rafiki yangu, kumbe kaoa muuzaji.

Ila siwezi kumuambia kamwe.
Naogopa kuua urafiki wetu na kufa wazee maana hawa wanawake na mimi bado sijaacha hata mbegu hapa duniani.

Wanandoa, Jengeni mazoea ya kwenda kupima afya mara kwa mara mtauana na magonjwa.
 
Ah ulikosea ulitakiwa utokezee mzee alafu hapo sasa ndio pangekuwa patamu..na utamu anagekupa tuu ujigegeded
 
Back
Top Bottom