Tuwekane sawa kwenye haya

Tuwekane sawa kwenye haya

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,122
Reaction score
4,857
Jamani tuwekane sawa kidogo kwene haya mambo mawili matatu

Sio kwamba una depression ila hauna hela, kimezuka kitabia flani mtu akiwa hana hela anajieka sura ya huzuni yaani kama ana msongo wa mawazo kumbe uhalisia hana chake

Sio kwamba huna hamu ya kula ni huna hela binadamu bhana huwa hawataki waonekane wanyonge hasa dada zetu utaskia leo sijiskii kula kumbe mtoto wa watu hana hela, ukifanya hivo mi najua tu huna hela sema tu unazuga

Huezi shindana na sehemu ulotokea eti hapo anatoka mtoto mwenye kilo nne na gram 800 kauli kama hizo wanatumia sana wale wanaume ambao hawawezi kupambana sana kwa bedi

Mi nikitaka kuoa ntaoa bikira apo kuna mawili ana kibamia hii ndo sana sana na pili hana nguvu za kiume au vyote kwa pamoja

Sipendi kula mayai,nyama nykundu, maini soda na vitu vya aina hiyo, sio kweli bruh sema tu mi sina hela

Mimi siezi kwenda cinematic Kwanza siezi kuangalia movie na watu wengi, bruh wewe huna hela na kama unayo basi ya ngama

Ongezea mambo mengine ambayo mtu akiyafanya unajua tu mmmmmh huyu hivi au hana hela

PESA INAONGEZA KUJIAMINI,NGUVU ZA KIUME, MWONEKANO N.K

TUTAFUTE PESA
 
Pesa ni sabini ya roho Ila kama unazo alafu kitandani mchovu tegemea kuwa mlevu au mtu wa kisirani hasira kila mda wee tafuta pesa Sisi tutatumia na mkeo siyo lazima wote tuwenazo
 
Pesa ni sabini ya roho Ila kama unazo alafu kitandani mchovu tegemea kuwa mlevu au mtu wa kisirani hasira kila mda wee tafuta pesa Sisi tutatumia na mkeo siyo lazima wote tuwenazo
wakishajiona hawajiwezi wanaanza kuwachukia wanawake na kuwaita majina ya ajabu ajabu
 
Kuna dili naifukuzia ikitiki tu nitarudi kuongezea hayo mambo mengne
 
Eti vibinti vidogo pasua kichwa,sema huna hela
 
Hasa wenye vibamia na ukosefu wa nguvu za kiume ndio daily kulia Lia Mambo ya bikra
 
Waume bana utasikia
1: mi sipendi mwanamke mchunaji/ mizinga
2: mimi staki wadada wenye degree /kazi ni pasua kichwa
3: ukioa mwanamke darasa la 7 uta enjoy ndoa 😂😂
4: mahali ni kudhalilisha kama vile tunanunua bidhaa ( anasahau kama na babu yake alitoa mahali)
5: sipendi mwanamke anajifanya clasic😆😆😆
6: sipendi mwanamke anaeomba hela. 😂 atakuombaje kama unayo na unampaga?

Nb ukiona hizo dalili wala usiulize ntazame uone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom