Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
13,976
Reaction score
22,417
Habari wadau,

"Travelling turns a stranger into a story teller"

Leo nimeona nilete some ideas humu jamvini nione muamko na muitiko na vile vile niangalie ni namna gani hili suala litapokelewa na kufanyiwa kazi maana haya ndio matumizi ya platform kama hizi. Wacha niweke idea halafu kama kuna watu watataka kuongezea fikra zao basi milango iko wazi kabisa. Naomba nitangulie kusema kwamba lengo la uzi huu sio kujisifia kama baadhi ya members humu watakavyodhani, lengo ni kushajihisha na kuelimisha ila kwa atakaeona msela anataka ajisifie potelea kaskazini walimwengu ndivyo walivyo and I won't care.

Kwanza kabisa naomba sote tuwe na imani kwamba "Travelling is easy, cheap and possible"

Natafuta watu wasiozidi saba tu ambao tutaunda kundi letu la whatsapp, tuwe marafiki na kujadili ni namna gani tunaweza kwenda holiday Egypt next year for one week as a holiday. Kwa vile mimi ndie organizer, na nina experience kidogo ya mambo ya safari pengine hao watu wataridhia kufuata mtazamo wangu. Let's don't go much deep into the organization of the whole thing as the most important thing right now is to get those people (RIGHT PEOPLE).

My plan is to organize a trip to Egypt for a group of people not exceeding eight (8) for one week where each member will be responsible for his/her own travelling costs which I know will not be much. Ningependelea katika hilo kundi tuwe watu nane jumla ambao tukianza sasa kujuana mpaka muda huo tutakuwa tayari friends, wanaume tuwe wanne na wanawake wanne as it will be much fun. Bila kuficha, hizi trip zinakuwa fun na yes sometimes the friendship inaenda mpaka ukaribu fani hivi unatokea mpaka watu wanakula bata kupitiliza. Ningependekeza sote tuwe between 25-35 not beyond maana hii inakuwa ni trip ya vijana zaidi.

Sijafanya bado research ya kutosha kuhusu gharama juu ya trip hii ila my small experience in travelling inaniambia haiwezi kuzidi $1000 per person for the whole week. The amount will cover return flights, accommodation with private swimming pool of course and meals. Excursions can be discussed later on.

Mimi bahati nzuri nimefanikiwa kutembea kidogo na bado natemebea na sababu ya kusema hii safari iwe mwakani ni kuwa mimi kwa kipindi hiki chote nina trip nyengine and I will be able to travel around late April and the whole of May next year.

Mwaka jana nilifanikiwa kwenda 2 weeks holiday in South Africa ambapo nlitumia 5 days in Johannesburg, 2 days in Durban and 7 days in Cape town. The total costs for three people ilikuwa around $2000 kwa watu watatu yaani mimi, wife na mdogo wangu.

Mwaka huu, actually I am leaving in two days time for a holiday to Eastern Asia for three weeks, the total costs per person sitoweza itoa sasa maana sijaondoka bado lakini mchanganuo ni kwamba, flight from Dar to Singapore and from Bangkok to Zanzibar ni $663 pp. Accommodation tumeweza kupata kwa $40 per night for the whole group so its around $8 per person per night, meals ni za kawaida sana kama bongo tu ukicheck online na sisi huwa tunapendelea kupika wenyewe. Excursions tulizozichagua so far zimefika $130 per person kwa nchi zote nne tutakazotembelea. Kwa hiyo kiufupi tunategemea kutumia pesa zisizozidi $1500 per person zikijukmuisha kila kitu kwa kipindi cha siku 20 ambazo nadhani it will be very cheap.

Kwa hiyo wadau, naleta wazo hili na wale interested candidates wote wani-PM nimefungua PM yangu for that and it wont be closed ila kwa wale ambao travelling is a real hobby to them sio kuandika andika tu kwenye CV hobby yako kutembea ukiulizwa hata Kenya hujafika.

Interested candidates wakiwa wengi itabidi tufanye mchujo maana mkiwa kundi kubwa kidogo inakuwa tabu.

Karibuni wadau na maswali nakaribisha.
 
Una mke halafu mnataka kusafiri tu na vidosho? Mmh haya bana natamani ila nipo Mimi tu na begi langu la nguo....siwezi kaa hata kwenye buti Amigo?
Si tatizo kabisa hilo bibie, sometimes hataki kusafiri na hata nkisafiri nae basi excursions hataki kufanya anataka kukaa ndani. Mke wangu ni mtu wa kipekee katika dunia hii, ni wale wanawake ambao hawana chembe ya matamanio ya dunia, ajabu???

One of the excursion tutakayofanya tukiwa Thailand this time ni "Thailand night life" ameshasema kabisa yeye haendi sisi tuende tutakako. Nonetheless, nategemea kwenda nae Comoro March next year na nimeshamtaarifu naandaa trip na washkaji zangu wa chuo May 2019 bachelor trip (nimedanganya) alichonijibu ni "Safari njema" iwe washkaji tu but me & you know how it works,right???
 
Si tatizo kabisa hilo bibie, sometimes hataki kusafiri na hata nkisafiri nae basi excursions hataki kufanya anataka kukaa ndani. Mke wangu ni mtu wa kipekee katika dunia hii, ni wale wanawake ambao hawana chembe ya matamanio ya dunia, ajabu???

One of the excursion tutakayofanya tukiwa Thailand this time ni "Thailand night life" ameshasema kabisa yeye haendi sisi tuende tutakako. Nonetheless, nategemea kwenda nae Comoro March next year na nimeshamtaarifu naandaa trip na washkaji zangu wa chuo May 2019 bachelor trip (nimedanganya) alichonijibu ni "Safari njema" iwe washkaji tu but me & you know how it works,right???
Haya poa kila laheri kwenye safari zenu
 
I am sorry Amigo, you will have to cover your own costs.Mwambie rafiki yako Demi akupige taf

Bila kuficha, hizi trip zinakuwa fun na yes sometimes the friendship inaenda mpaka ukaribu fani hivi unatokea mpaka watu wanakula bata kupitiliza

aiiiiii weweee na cost zote kwangu, haya bana mi nauli inatosha kwenda mtipwili
 
Bila kuficha, hizi trip zinakuwa fun na yes sometimes the friendship inaenda mpaka ukaribu fani hivi unatokea mpaka watu wanakula bata kupitiliza

aiiiiii weweee na cost zote kwangu, haya bana mi nauli inatosha kwenda mtipwili
Hahahahahahahha! I hope you are not trying to make me pay for you, are you???
 
Natamani nami niende holiday hapo tu jirani Kenya kwa siku kama 5 tu niandae sh ngapi kwa costs zote.
NB Nitapendelea kutumia usafiri wa bus watosha sana
Safi sana mkuu, nimerudi from Kenya on 26th September nlikaa 2 nights 3 days. Inaweza kuwa rahisi kupitia Tanga kama upo Dar maana Dar to Mombasa nadhani ni TZS 25,000-30,000 halafu Mombasa to Nairobi ukisafiri na first class bus ni 40,000. Pale Nairobi mimi nlilala Machakos nyumba nzuri tu and I paid TZS30,000 kwa siku kwa hiyo ilikuwa jumla 60,000 kwa night mbili. Kenya is visa-free to Tanzanian (s) kwa hiyo hutokuwa na gharama za visa. Milo ni kama bongo tu na I would suggest upae night 3 Nairobi na night 2 Mombasa.

Go for it aisee
 
Back
Top Bottom