Nimemwambia hayo maneno kiutani utani binti mmoja katika chatingi chatingi. Nilimuuliza umemskiliza mzee jana ..alisema...yule mzee wa zenj wala hakuutaka urais kihivyoo
Sasa namii nikachombeza...
Basi mara baada ya kushushiwa getini tulishitushwa na sauti kubwa ya afande, "wote mikono juu, piga magoti, piga magoti" tukaswagwa mpaka kwenye kiunga kimoja karibu na geti la kambi huku tukiwa...
Kwa wale wapenzi wanaoishi mbalimbali aidha wachumba au wanandoa. Je ni mwanamke au mwanaume ambaye anapaswa kuanzisha mawasiliano asubuhi wakati siku mpya imeanza au usiku wakati wa kulala?
Kati...
Salamu Wakuu.
Husika na kichwa cha uzi hapo juu kwa dhati ya moyo mimi kama kijana wa kitanzania nimeamua kutoa nafasi kwa wahusika hapo juu kuwapa faraja na kuona wao pia ni watu wanastahili...
Me mjumbe tu wakuu
Mahusiano yataannza tar 23 dec hadi tareh 2 January
Benefits
Kula Na kulala pamoja nyumbani kwa mmojawapo
Cost sharing
Qualifications
Age 35_36
HIV negative.(utapimwa hadi...
Nimeikuta sehemu fulani kwenye pita pita zangu.
TABIA ZA KUEPUKA KWA BAADHI YA WANAWAKE MBELE YA WANUME ZAO.
DADA YANGU, Kama unaishi na mwanaume harafu mnafanya kazi wote mnarudi jioni mkiwa...
Story iko hivi nipo kwenye relationship na 4 girls, wa tatu (3) nilikutana nao kipindi kimoja 3 years ago hawajapishana sana miezi kwenye mahusiano na huyu mmoja nimempata 6 month ago kila mmoja...
Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini...
Kikubwa kuliko yote mkikubaliana na binti wa watu usichukue muda mrefu kufunga ndoa.
Uchumba ni kifungo cha hiari ambacho kinaweza kuleta matunda ya kufunga ndoa au kuleta maumivu kwa kutofunga...
Hi wakuu poleni na mihangaiko.
Mie ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.
Huyu dada tupo wote more than 1.5 year, kwakweli mtoto wa watu...
Habari zenu watanganyika wenzangu
Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so...
If I only knew he would be like this
I trusted him, but he ruined all my 2020 plans. Without even care how emotionally I am affected....!
Where on earth did he came from...?
I manage to break...
Aisee...kwel nmeamini ukiwa firm kwenye mahusiano kama mwanaume...hakuna mwanamke atakutetemesha hata awe nani
Nili break kdogo kama mwezi hiv na shemej yenu wa mda mref...
Kiukwel shemej yenu...
Namaanisha kugonganisha wapenzi. Huenda katika pitapita zako ulikuwa / una mpenzi zaidi ya mmoja ikatokea siku moja wakakukamata kwa wakati mmoja.
Tuambie ilikuwaje?
Binafsi nakumbuka katika...
Huyu jamaa yangu chapombe na mademu sana. Mademu (siyo wanawake ,siyo mabinti, siyo wasichana) MADEMU. last week tumekaa tunapiga maji akapiga simu na kutoa maelekezo.
Baada ya dk kama 40 kikaja...
Unapopata msichana kwanza huwa anauliza "je utanioa au unanichezea tu?"
Hata kama ana digrii tatu za lugha bado anashindwa kabisa kutofautisha kati ya kuchezewa na kuchezeana.
Inakuaje unasema...
Je? Wewe ni mmoja kati ya wanaosema maumivu ya kuachwa ni makali kushinda maumivu ya viungo vya mwili? Mbona ni kama unajaribu kuwashauri madaktari waanze kufanya oparesheni bila ganzi hivi...
Aries (March 21 -April 19)
The God of War doesn't think before actions, they have sex, then think about it later. Aries is oftenexcited by the chase rather than the catch. They are
very dominant...
Mambo ni nini aseee? I hope mko yechu. Acha niende direct kwenye msala.
Ebhana kunae Chaliangu mmoja ivi anapiga mbishe kwenye ofisi flani apa Chuga Townika kati apa waga anapiga mbishe za kupiga...
Wadau habarini za muda huu, mategemeo yangu mu wazima wa afya na mmeanza kusukuma gurudumu la maendeleo baada ya uchaguzi kupita kwa amani.Nije moja kwa moja kwenye mada nina msichana ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.