Nani anatakiwa awe anampigia simu au text mwenzie

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,911
Kwa wale wapenzi wanaoishi mbalimbali aidha wachumba au wanandoa. Je ni mwanamke au mwanaume ambaye anapaswa kuanzisha mawasiliano asubuhi wakati siku mpya imeanza au usiku wakati wa kulala?

Kati ya mwanaume na mwanamke nani aanze?
 
1. Aliyeamshwa salama
2. Mwenye simu
3. Anayejua kuandika Ujumbe
4. Mwenye Salio/kifurushi
5. Mwenye upendo wa kweli kwa mwenzake

Nb;- Ukiona kila siku wewe ndie unaeanza kutuma ujumbe kwa mwenza wako, nakushauri uache mara moja na uanze kutumia watu zile jumbe za "Ile pesa tuma kwenye namba hii" huenda ukaambulia hata tsh.500 ya kubeti.
 
Maisha ya ndoa hayaitaji ushindani.
Maisha ya ndoa hayaitaji kutegesheana.
Maisha ya ndoa hayana mkubwa wala mdogo.
Ili muishi maisha yenye amani, nivizuri kila mmoja akawajibika kwa nafasi yake.
 
1. Aliyeamshwa salama
2. Mwenye simu
3. Anayejua kuandika Ujumbe
4. Mwenye Salio/kifurushi
5. Mwenye upendo wa kweli kwa mwenzake

Nb;- Ukiona kila siku wewe ndie unaeanza kutuma ujumbe kwa mwenza wako, nakushauri uache mara moja na uanze kutumia watu zile jumbe za "Ile pesa tuma kwenye namba hii" huenda ukaambulia hata tsh.500 ya kubeti.

hatari
 
Back
Top Bottom