Jana kwa mara ya kwanza nmeulizwa....

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Aisee...kwel nmeamini ukiwa firm kwenye mahusiano kama mwanaume...hakuna mwanamke atakutetemesha hata awe nani

Nili break kdogo kama mwezi hiv na shemej yenu wa mda mref...

Kiukwel shemej yenu alianza kuwa na ki attitude flan hiv..nkampiga biti moja la maana ikapelekea kujibizana na kutokwa kauli za ajab ajab...nkamwambia yan kwakua umekuwa senior loan officer bas ndo hyo jeur imeanza sio...akanijib mambo ya ajab ajab...nkamwambia nakuomba uondoke ..heee si akaondoka kweli..

Nkasema we hunijui...actualy binti ananijua vilivyo....kwanza file langu analijua ...yaan katika msururu kama ni mashindano ya miss tanzania bas yeye hata kwenye 5 bora hayupo....ila ndo hvyo tunaoneana huruma tuu.

Bas ikapita week..akaanza rudi nkasema huyu lazima nimpe fundisho..mwez mzima..aisee nimemtesa mtoto wa watu mwez mzima..ni mnuno wa hali ya juu...samahan nyiiing

Bas ijumaa nikaamua nirudishe upanga alani tu....akaja niiiin...mi nilikua job..akafanya usafi.kapika....nmerud mida ya jion

Ndo nkaskia hii kauli
"Bebi...unakula kwanza ndo ule ama ule kwanza ndo utakula"...

Nkacheka saaana ..nkamwambia uswahili umeanza lini tena...hahahahahaahaa...et nakutania bwana...haaa

Uzi tayar
 
Back
Top Bottom