Umewahi kugonganisha magari? Ilikuwaje?

Umewahi kugonganisha magari? Ilikuwaje?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Namaanisha kugonganisha wapenzi. Huenda katika pitapita zako ulikuwa / una mpenzi zaidi ya mmoja ikatokea siku moja wakakukamata kwa wakati mmoja.

Tuambie ilikuwaje?

Binafsi nakumbuka katika kasumba zangu moja ambayo iliniendesha sana ni kuwagonganisha wanawake wawili ambao walikuwa marafiki sana.

Nahisi walijigundua kuwa nilikuwa nawanyweshelezea pamoja. Si unajua mashost tena huwa hawafichani?

Siku ya tukio

Siku hiyo mwanaume mashine niliagana na mmoja wapo kukutana naye mahala kwa ajili ya game. Kumbe wameweka kambi wote[emoji3][emoji3]

Kilichotokea hapo ngoja kwanza nisome comment halafu nitarudi.

Ila mwisho wa siku mmoja aliachia ngazi na mwingine kuendelea na mapenzi nami.

Ok
Tupe uzoefu wako katika hili
 
Kwangu haijawahi tokea sijui nina fail wapi, napenda kuwa mwaminifu ikinishinda ni heri tumalizane kwa amani kuliko kukupiga matukio, ngoja nitajaribu siku moja nione je nitaongeza upendo zaidi upande mmoja maana kuna mmoja lazima atabaki tu
 
Back
Top Bottom