Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,044
Nimeikuta sehemu fulani kwenye pita pita zangu.
TABIA ZA KUEPUKA KWA BAADHI YA WANAWAKE MBELE YA WANUME ZAO.
DADA YANGU, Kama unaishi na mwanaume harafu mnafanya kazi wote mnarudi jioni mkiwa mmechoka na dada wa kazi hapo ndani yupo. Basi kumbuka kufanya kazi kwako wote na mumeo hakukuondolei sifa yako kama mwanamke. Kuna wanawake wanawaona wanaume zao kama wanasifa sana, wanajiona wasafi sana ila kuna tabia zinakera kwa baadhi ya wanawake kama hivi:
1. Mfano mwanamke umerudi kazini umechoka unaenda kulala bila kuoga halafu unajikuta mwanaume wako hakugusi anakwambia ni tabia gani hii analalamika kuonyesha kukereka na tabia hiyo unachukia ukimuona kama anasifa eti kwasababu mliambiwa kuwa nyie ni mwili mmoja (DADA ACHA UCHAFU)
2. Mfano mwanamke umemaliza kutumia pedi ukaicha bafuni mpenzi wako akaikuta akajihisi kinyaa akakwambia kuwa jitahidi ukimaliza kutumia pedi uwe unatupa, amekufokea basi wewe unakasirika unamwambia “Kama unakinyaa kwanini ukubali kuishi na mwanamke aneingia kwenye siku” (DADA ACHA UCHAFU UNAKERA)
3. Mfano mwingine mwanamke umeshinda kazini haijalishi ni kazi gani umefanya siku nzima iwe umeshinda kwenye kiyoyozi au wewe ni mama ntilie mnaingia faragha mumeo anakuomba ukaoge kwanza, mumeo au mpenzi wako anasisitiza hawezi kufanya mpaka ukaoge ila wewe ukasirika unamwambia “Nimechoka tufanye kwanza tutaoga tukimaliza” basi unamuona mumeo anasiifa mpaka basi anajiona msafi sanaaa ila (DADA UNAKERA ACHA UCHAFU)
4. Ndio wote mnafanya kazi na mnalala pamoja lakini sio hata kutandika kitanda umategea kuna dada mmoja aliniambia “Hivi Kaka ni haki kweli mwanaume mnalala wote, wote mnafanya kazi lakini anataka kitanda utandike wewe kila siku, ukimwambia basi kama wewe ni mvivu binti wa kazi aingie chumbani awe anatandika kitanda hataki” (DADA ACHA TABIA ZA KIJINGA ATAOLEWA BINTI WA KAZI SASAIVI)