Habar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.
Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa...
Safari ya mahusiano inapokaribia kufika mwisho kuna vitu vingi utaviona toka kwa partner wako kuanzia tabia na mienendo sasa inapofika hatua
Mpenzi wako anataka muachane kuna vitu vingi...
Nna ka urafik na bint flan ndo ameanza 1st yr hapo taasis ya finance karib na kwa mzee
Kama kawaida yangu huwa na invest sana kwenye urafik kwa hawa watoto wa kali pasipo kuleta mambo ya mapenz...
Wanaume mnisikie!
Unapotumia Fedha kama chambo cha kumpata binti ujue kuna haya mambo mmawili
1. Wewe ni mshamba usiyejiamini na usiyejua namna ya kuzungumza,
2. Wewe ni mshenzi unayemlinganisha...
Aisee hawa viumbe mungu kajitahidi kuwaumba kwa namna yake, wao wanaamin katika kupewa tu,hawaamin kabisa katika kutoa.
Wao ni wakupokea tu, hata Kama wanapesa, unaweza kuta mwanamke anakazi...
"Toka hapo nataka nifagie"
Hiyo ni kauli iliyotoka kwenye kinywa cha mke wangu huku akiwa na bashasha ameshikilia fagio mkononi, mi ndio nilikuwa nimerudi kwenye mizunguko ya hapa na pale kwa...
Habar za weekend wadau naomben leo tudiscuss hii topic bila matusi hii thread nilifungua lkn mod waliifuta sababu comment nying zilijaa matusi sasa basi leo naomben twende taratibu
Km kichwa cha...
Wakuu hili swali sijawauliza ninyi ila nimejiuliza mwenyewe sijapata jawabu mnaweza kunisadia.
Huyu ni mwanamke rafiki ake na mpenzi wangu wa zamani ,anajuwa nilivo kuwa na care rafiki yake sema...
Habari waheshimiwa!!
Nimekuwa nikisikia na kusoma mara kwa mara wanaume wakilalamikiwa na wanawake kuwa hawawaridhishi katika mambo mbalimbali. baada ya kufanya uchunguzi binafsi niligundua...
Naona kama anakuwa na wakati mgumu sana wa kufanya hivyo, Muda wote
yuko chini ya uangalizi, Si hivyo tu ziara nyingi anakuwa kaongozana na First lady
hata hivyo yeye ni kama kioo anatakiwa awe...
Ni mrembo anaekonga nyoyo za mabaharia humu jf kwa kuleta upinzani wa jadi wa hapa na pale😂😂😂
Si mwingine ni mSweet Marianah hebu comment kama mpenzi wake kwa huu muonekano wake.
Angalizo...
Katika mahusiano wanawake huwa wanauliza vitu vingi sana ila ikifikia hatua anakuuliza maswali haya anza kujitathimini mapema
1.mwanamke akikuuliza una malengo gani na mimi na upo ndani uhusiano...
Mwanzo nilikuwa najua sisi wanaume tunawalazimisha wanawake kuwaingilia bila condom lakini nimekuja kujua wenyewe hawapendi sex na condom.mtu mmejuana leoleo na bado haogopi anataka upige kavukavu...
Nimewaza sana,nimefikiria sana nikaona bora niwashirikishe wadau...maana inafika kipindi mwanamke kakosea unampiga,unamtukana na kutishia kumuacha afu baadae roho ya huruma inakujia..unaanza...
Habari za kazi wadau wenzangu wa JF
Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya...
Hey! Wakuu wajukwaa hili naamini bado hamjakata tamaa kwenye lolote na bado mapambano mpaka dakika ya 90.
Basi wakuu katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja kaloweya Dodoma, sema kwao Handeni...
Huyu mbwa anaitwa George. Hana furaha na mawazo baada ya kumpoteza rafiki ake wa miaka 12, aitwaye Labrador. Haijulikani baadae kuwa huyu bata alitokea wapi . Inaonekana alitokea kujua hali ya...
Jumapili kwangu imekaa vizuri sana, niko zangu nimechill getto na familia yangu. Kwa wenye changamoto poleni sana.
Dada zetu habari zenu, naomba mnisamehe kidogo kwa wale ambao linawahusu hili...
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani.
Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu...