Wana JF tangu nimeachana mpenzi wangu nimejikuta napitia mateso makali sana kuliko yale niliopitia tukiwa kwenye mgogoro mahusiano zaidi kwanii
1. Imefika hatua nakula kwa shida
2. Nalala kwa...
Nimeoa na nina watoto watatu.
Mimi na mke wangu tu madaktari Muhimbili.
Siku za karibuni xgirlfriend wangu (aliniacha tukiwa mwaka wa tatu Muhimbili na kwenda kuolewa na pedeshee) amekuwa karibu...
Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi.
Vijana ongezeni nguvu ya...
Habari wakuu
Katika maisha mambo mengi yanaweza kwenda vibaya lakini kumbe ni mahusiano uliyokuwa nayo.
Nilikua na mahusiano na mwanamke mmoja kipindi cha nyuma lakini kumbe yeye ndio alikua...
1. Huwa ni mkosoaji yaani haswa ktk uvaaji wako wa nguo na muonekano wako.
2. Hakuungi mkono katika mipango yaani unaweza mweleza mipango yako yee anabaki kukuangalia.
3. Hana stori na wewe na...
Hi wana JF
Naomba tuanze kulizungumzia swala hili leo ....
Wakati tathmini zinaonyesha kuanzia mika ya 80 kurudi nyuma ndoa 15% tu ndio zilionekana kuwa mmoja ya wanandoa alibaki pekeyake kwa...
Katika harakati za mahusiano, kuna kile kipindi mtu hua unapitia, unampenda mtu kweli kweli. Unaumia sana kwa mambo anayokufanyia lakini yeye hajali.
Unamuona yupo Online lakini hajibu text na...
Hii nadharia ina maana nyingine tofauti na ninavyojua mimi? Kwamba upo na mwenza wako ndo Duniani wawili wawili?
Nadhani imewahi kukutokea umekutana na mtu ambaye anafanana kabisa na mtu mwingine...
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea...
Habari za usiku all members
Niende direct tu mimi bado sijaoa ila nimeshudia mengi katika harakat zangu za utaftaji na kuchangamana na wanajamii wenzangu ingawa ni kachalii tu
Nawasihi sana...
Mahusiano huwa yana siri kubwa usione watu wako pamoja, wanafurahi pamoja, wanacheka pamoja lakini ukichunguza in deep unagundua kuna mmoja hana upendo na mwenzie ila anaishi mwenzie ili mradi...
Now wanawake hawataki kukaa sehem yenye njaa yaani sasa hivi kila mwanamke uliyenaye atahitaji huduma na kumuwekezea yaani wanawake wa sasa vichwa vimeamka sio kama zamani, utaskia vikoba sijui...
Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo...
Habari,
Kwasasa nipo single (Mtasema tangazo, whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano ni Kwamba lazima umfulie nguo na...
Salaaam.
Kuna wanawake wengi tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu wamejaaliwa maisha sio mabaya wamepanga au wamejenga na wanabadilisha mboga kila siku.
Bahati mbaya walipata watoto ila wakashindwana...
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello...
Mama Shedrack ananipigia simu huku akiongea kwa hudhuni "Inakuwaje rafiki yako anafikia uamuzi wa kutaka kujiua na nyie mpo?"
Kiufupi Shedrack ameshahudumia sana kwa Mary. Walianza urafiki...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika
Mimi ni pacha ke na me. Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau
Sasa...
Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda...