moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Habari wakuu
Katika maisha mambo mengi yanaweza kwenda vibaya lakini kumbe ni mahusiano uliyokuwa nayo.
Nilikua na mahusiano na mwanamke mmoja kipindi cha nyuma lakini kumbe yeye ndio alikua gundu langu maana mambo yangu yalivurugika hovyo hovyo wakati mwanzo mambo yalikua safi.
Kipindi nimeachana nae bado mambo gizani lakini toka nimefahamu kuwa chanzo ni yeye ,mambo yako safi.
N.B: Kuna wanaume wanawaachia wanawake nuksi /kuna wanawake wanawaachia wanaume mikosi.