Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wapendwa! Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu...
10 Reactions
78 Replies
18K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu...
21 Reactions
128 Replies
26K Views
Natafuta MKE wa kuoa,awe mrefu,maji ya kunde au mweupe,mkiristo,mpenda maombi,awe na hofu ya MUNGU,awe anajua kusoma na kuandika,umri kwanzia miaka 21 hadi 31
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Habari Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu. Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7), Rangi yangu maji ya kunde, Kwa umbo ni mwembamba...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , [emoji24] Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Piiiipooozzzzz.....!!!! Mie niko Calabash Napiga Savanna kama nanawa sanitaizaaaa 😜😜😜😅😅 Cheers everyone but take care, the shit is real 😉. Kasie Matata.
15 Reactions
122 Replies
8K Views
Miaka miwili nyuma niliachana na binti mmoja single mother, alikua na mashauzi sana na kujiona mzuri ikatokea tukaachana, ni binti aliekua ananichukulia poa sana aliniona sina pesa. Sasa leo...
147 Reactions
249 Replies
24K Views
Habarini wanajukwaa. Mwezi ujao naingia miaka 31 kwa sasa nipo ukingoni mwa 30. Kwa nipo na mke wangu tukiwa na watoto wawili. Maishani mwangu nilianza rasmi kuwa na mahusiano serious ya...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Ukipata mpenzi mpya hakikisha unampa care ya kiwango cha hali ya juu!,usimchukulie poa onyesha maajabu kama yote kwenye bed! Sms za uongo na kweli zisipungue!hakikisha unamuona kila siku...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo. Lawama hizo...
31 Reactions
219 Replies
51K Views
Habari wana Jf Niko powa naimani mko powa pia katika kukimbiza uchumi wa kati na life lisogee tufe. Iko hivi wanawake wa siku hizi mambo mengi ikiwapo na mitandao na lifestyle imechange basi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli. Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino. kwa sasa nimeo...
6 Reactions
38 Replies
8K Views
Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja...
39 Reactions
97 Replies
14K Views
Kuna mtu kaiba Kadi ya Bima ya Mkewe kaenda kumtibia Mchepuko wake wa nje hospital moja Kubwa Baada ya Muda mchepuko umefariki na hospital umetoa cheti cha tangazo la kifo kwa Jina la mkewe...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu wa jamvi hali ni gani uko kwenu kitaa. Yaani hawa kina hawa wanatanguliza pesa mbele kama tai. Kama huna pesa utaishia kula wale wa short time kule Sinza na Manzese wa buku 3 na buku mbili...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu. Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha...
13 Reactions
96 Replies
6K Views
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo. Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa. Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hongereni wanaume marijali mnaotunza familia zenu na watoto Jambo linalopunguza watoto wa mitaani , Leo nilikuwa katika usafiri wa public transport kulikuwa na majaridiliano makali kuwa wanaume...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Back
Top Bottom