Nimepanga kumpa mpenzi wangu nusu ya mshahara

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,666
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.

Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela.

Amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE.
 
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.

Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,

amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Emu panga siku moja umpe nusu ya mshahara yule mvumilivu aliyekuweka tumboni miezi tisa akakuvumilia,siku kadhaa za kukunyonyesha na kukukulea mpaka ukakua akakuvumilia,

naomba jaribu kufanya hivyo siku moja mkuu

Alafu mwanamke wako lazima awe mvumilivu tu kwa sababu anajua kuna mwisho wa mwezi bila wasiwasi mkwanja unaingia,kwa hiyo kwa nini asiwe mvumilivu wakati anauhakika mtu unakazi yako ?

Ingekuwa wewe akina sie wabangaizaji wazee wa vibarua leo unapata kesho hupati japo kidogo ingeleta mantiki
 
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.

Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,

amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Alafu siku sio nyingi uje humu kutulilia ukiomba ushauri.
 
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.

Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha jinsi gani namthamini kwani amekuwa mtu msikivu na mvumilivu kwangu hasa mara zote kwenye masuala yanayohusu hela,

amekuwa mtu ambaye hata nikimwambia sina basi msikivu na sio mtu wa kununa, mara zote ni mtu wa kuwa na subira SO SHE DESERVE
Mpe tu ili akale na mpezi wake anayempenda mkuu.
 
Back
Top Bottom