JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 704
- 1,103
Habari wana Jf
Niko powa naimani mko powa pia katika kukimbiza uchumi wa kati na life lisogee tufe.
Iko hivi wanawake wa siku hizi mambo mengi ikiwapo na mitandao na lifestyle imechange basi wamevurugwa.
Kuna siku nilikuwa na bi dada Tunapiga story sasa katika mazungumzo akaniambia kwamba mme wake ana mcheat ikiwa yeye acheat.
Kisaikolojia nilivyomsoma nikaona anako elekea ni kurudisha mabeki yaani jino kwa jino.
Kwahiyo usije ukaona mkeo anajua unacheat anakaa kimya ukajua ni bwege lazima uchapiwe bwana mdogo
MITANO TENA ..
NAOMBA UJAZIWE CHAI HUU UZI ...
NAWASILISHA