Mke mwembamba, mweupe, mrefu anaitajika

Fasta

Member
Aug 20, 2012
23
4
Habari

Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu.

Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7),

Rangi yangu maji ya kunde,

Kwa umbo ni mwembamba.

Nimeamua kujitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye upendo wa dhati na aliyekuwa tayari kunikaribisha ktk moyo wake kwa jinsi nilivyo ili awe mke wa maisha yangu na hasiekuwa na makuu!!

Naitaji mwanamke mwenye sifa hizi tafadhali;

☆awe mrefu kwakuwa mimi ni mrefu

☆awe mwembamba

☆awe mweupe.

~dini yoyote

~umri wowote

~kabila lolote

Mwanamke mwenye sifa hizi mrefu,mwembamba na mweupe naomba ndie tuwasiliane.

Niko seriously na kamwe sitachezea nafsi yake mimi kinachonisumbua ni "Upweke tu",atakuwa mhimili wa maisha yangu .

Mwanamke mwenye utayari na mwenye sifa hizo,tuwasiliane kwa namba ya simu :

0712 20 43 83

Pia napatikana whatsapp.
 
anyway...wanasema ng'ombe hazeeki maini......na punda kihongwe je?.......kama unao mpunga.....sawa....kama apeche alolo......uwe mpole....
 
Habari

Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu.

Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7),

Rangi yangu maji ya kunde,

Kwa umbo ni mwembamba.

Nimeamua kujitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye upendo wa dhati na aliyekuwa tayari kunikaribisha ktk moyo wake kwa jinsi nilivyo ili awe mke wa maisha yangu na hasiekuwa na makuu!!

Naitaji mwanamke mwenye sifa hizi tafadhali;

☆awe mrefu kwakuwa mimi ni mrefu

☆awe mwembamba

☆awe mweupe.

~dini yoyote

~umri wowote

~kabila lolote

Mwanamke mwenye sifa hizi mrefu,mwembamba na mweupe naomba ndie tuwasiliane.

Niko seriously na kamwe sitachezea nafsi yake mimi kinachonisumbua ni "Upweke tu",atakuwa mhimili wa maisha yangu .

Mwanamke mwenye utayari na mwenye sifa hizo,tuwasiliane kwa namba ya simu :

0712 20 43 83

Pia napatikana whatsapp.
Ufupi umenikosesha mume jaman....
 
Mungu akujalie umpate.. By the way, chek na mjane wa Mengi.. Huyu atakufaa sana.
 
Habari

Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu.

Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7),

Rangi yangu maji ya kunde,

Kwa umbo ni mwembamba.

Nimeamua kujitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye upendo wa dhati na aliyekuwa tayari kunikaribisha ktk moyo wake kwa jinsi nilivyo ili awe mke wa maisha yangu na hasiekuwa na makuu!!

Naitaji mwanamke mwenye sifa hizi tafadhali;

☆awe mrefu kwakuwa mimi ni mrefu

☆awe mwembamba

☆awe mweupe.

~dini yoyote

~umri wowote

~kabila lolote

Mwanamke mwenye sifa hizi mrefu,mwembamba na mweupe naomba ndie tuwasiliane.

Niko seriously na kamwe sitachezea nafsi yake mimi kinachonisumbua ni "Upweke tu",atakuwa mhimili wa maisha yangu .

Mwanamke mwenye utayari na mwenye sifa hizo,tuwasiliane kwa namba ya simu :

0712 20 43 83

Pia napatikana whatsapp.
Hivi urefu hasa unaanzia kipimo gani?
 
Baada ya JF kupigia promo hili jukwaa huko kwenye channel yao ya Telegram nikasema wacha nije kuchungulia.

Pengine na mimi ntajipatiapo 'a pisi or two'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom