Ukipata mpenzi mpya fanya hivi!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,038
Ukipata mpenzi mpya hakikisha unampa care ya kiwango cha hali ya juu!,usimchukulie poa onyesha maajabu kama yote kwenye bed!

Sms za uongo na kweli zisipungue!hakikisha unamuona kila siku ikishindikana mpigie video call! Hakikisha unamuweka bize kiasi ambacho hawazi tena kuhusu yaliyomkuta jana!

Hakikisha unamnunulia chochote kila unapotaka kumuona hata kiwe cha thamani ndogo sana!

Ukishindwa kufanya hivyo miezi mitatu ya mwanzo nakuhakikishia asilimia 99.5 atarudi kwa Ex wake!

Unapopata mpenzi mpya jua upo kwenye kampeni hakikisha jimbo umeliteka kwa asilimia 100 ndio uanze mbwebwe! Kinyume na hapo jimbo linarudishwa kwa chama tawala
 
Wapenzi wa bongo joto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom