Natafuta mchumba wa kiume

Bikira23

Member
May 25, 2020
18
30
Habari wapendwa!

Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;

1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabila lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.

Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.

Karibu sana
 
Hahahahaah! Bikra kweli?? Basi ukiwa na chura tu utakuwa umepata Mme mzuri SANA..njoo pm
 
Njoo pm. Sifa zote ninazo na nitakununulia boat ya mwendo kasi baada ya verification ya bikra na kuthibitika siyo artificial.( Ya kutengeneza kwa chemical ile inaitwa shabu)
 
Hongera!!!

Sio hekima kutafuta mchumba "social media".

Kabla ya kuandika thread uliingia kwenye maombi binafsi kupata muongozo wa "Roho Mtakatifu" au unajaribu kutikisa kijito cha maji uone kama kuna samaki?

Dhamira yako itapata jawabu.

Desturi za wakristu ni kutafuta mchumba mshirika ndani ya kanisa unaposali.

Kama hakuna basi unaweza sogea kanisa la Kristu lingine kuomba msaada, haswa haswa mama mchungaji atakusaidia kukuonyesha njia(mtu).
 
IMG_1308.png

Huyu taperi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom