Natafuta mchumba wa kiume

mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
nipo serious ila nina miaka 25
 
Mimi nipo ila sina mpango wa kuoa soon, tupotezeane muda tu
 
mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
Elimu ndo inaolewa au inaoa?
Omba Mungu akupatie mume mwema, hatopatikana kwa vigezo ulivyovitaja, atapatikana kwa kutumia vyema milango yako ya fahamu mitano; hapo ndo mlango wa sita utakapofunguka na kuona yale yasiyoonekana kwa macho ya kawaida.
 
Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake havijatokana na "mlango wa sits"
 
Tatizo lenu hamrejeshi mlicho kipata huko pm May 10 2014 ulileta uzi hapa ukitafuta mwanaume ukiwa 25years, ulipata au??
Mkuu Kama angempata mwanaume anaemfaa hangerudi hapa.Namuombea Mungu apate nione nyuso zenu mnaombeza mtazificha wapi.

wakuu, Kama thread ya mwemzio haikuhusu pita kulee.....Kama ikikugusa nenda PM....Kama una ushauri tathmini Kama ushauri wako utajenga au kuumiza mwenzako.hekima kitu cha msingi.

asanteni.
 
mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
Nakuja matren
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom