Madhara ya mzazi kuwa mnoko yamemfanya aoe bila wazazi wake kujua wala kuwa na taarifa

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Ilikuwa ni weekend hii iliyopita jumapili hii nilikuwa harusini ni mshikaji Wangu wa karibu ameowa lakini cha ajabu wazazi wake hawajui

Nilipokuwa ukumbini aliniita chobingo akaniambia haya mambo hataki kuyasikia nikiyazungumza wala nisungumze chochote nikionana na baba yake wala mama yake wasijue hiii issue ilivyoo

Nikamuuliza kwanini akaniambia kausha wale wazee sio wana mambo ya kizamani sana hivyo kuanzia mchakato wa Mali hadi harusi hawajui kitu kama nimeowaaa
 
Bora angewaambia wakamsusia harusi kuliko kuwadharau namna hiyo,
 
Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?

Mimi najua kila mtu anabeba zigo lake mwenyewe

Wengine walibeba sura halafu zinawasumbua

Wengine walibeba wowo au makalio yanawatokea puani

Wengine walioa vimbaumbau sura ngumu miguu kama chaga wanaishi kwa furaha na amani tele na ndoa zipo imara

Wengine walio miguu ya bia wana raha na amani

Tatizo ndoa kila mtu anabeba tatizo lake hakuna uzoefu
 
Iyo ipo sana,watu wanaoa wazazi awajui,mwisho wa siku wazazi wanaanza kusikia tetesi mpaka wakijakujua ushambebesha tumbo manzi.
 
Ilikuwa ni weekend hii iliyopita jumapili hii nilikuwa harusini ni mshikaji Wangu wa karibu ameowa lakini cha ajabu wazazi wake hawajui

Nilipokuwa ukumbini aliniita chobingo akaniambia haya mambo hataki kuyasikia nikiyazungumza wala nisungumze chochote nikionana na baba yake wala mama yake wasijue hiii issue ilivyoo

Nikamuuliza kwanini akaniambia kausha wale wazee sio wana mambo ya kizamani sana hivyo kuanzia mchakato wa Mali hadi harusi hawajui kitu kama nimeowaaa
Hujatuambia unoko wa huyo mzazi ni upi mpaka akaamua kuoa kimya kimya
 
pale kansan au msktin kuna sehm za pande zote mbil kutoa tamko la mzaz wa pande zote mbil kwaio hii
IMG-20200504-WA0058.jpg
 
Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?

Mimi najua kila mtu anabeba zigo lake mwenyewe

Wengine walibeba sura halafu zinawasumbua

Wengine walibeba wowo au makalio yanawatokea puani

Wengine walioa vimbaumbau sura ngumu miguu kama chaga wanaishi kwa furaha na amani tele na ndoa zipo imara

Wengine walio miguu ya bia wana raha na amani

Tatizo ndoa kila mtu anabeba tatizo lake hakuna uzoefu
Waliobeba makalio nawaunga mkono hata kama wanateseka namna gani
Tumblr_l_76716167145890.jpg
 
Back
Top Bottom