Jukumu la kujilinda ni lako

trisha cute

Senior Member
Dec 1, 2020
194
607
Corona ipo ni jukumu lako kujilinda kuepuka misongamano isiyo na lazima na kujilinda wewe mwenyewe... Nmelazwa hapa Temeke hosp wiki sasa and every 5 seconds zinakuja cases za corona mpaka unaogopa, inshort corona ipo tuchukue taadhari na jukumu la kujikinga ni lako usisubiri kutangaziwa hali inatisha. Hali ni tete kuliko tunavoimagine kama huamini ulazwe then utaona
#Jikinge
#Jilinde
Afya yako ni muhimu zaidi
Adios
 
Corona ipo ni jukumu lako kujilinda kuepuka misongamano isiyo na lazima na kujilinda ww mwenyewe... Nmelazwa hapa temeke hosp wiki sasa and every 5 seconds zinakuja cases za corona mpaka unaogopa inshort corona ipo tuchukue taadhari na jukumu la kujikinga ni lako usisubiri kutangaziwa hali inatisha hali ni tete kuliko tunavoimagine kama huamin ulazwe then utaona
#Jikinge
#Jilinde
Afya yako ni muhimu zaidi
Adios
Sawa, tumekuelewa
 
Mungu atukinge na hayo🙏🙏
 
Inashangaza sana Mkuu. 5 minutes ago nimeweka hii article kwenye jukwaa la siasa ili kuzidi kuwafumbua macho na akili Watanzania lakini kwa mshangao wangu imefutwa!

Corona yapukutisha majenerali wa jeshi watano ndani ya wiki mbili​

8fb5c685f4505904071d00c3086f6956

Felicita Felix 8th February 20210 Comments

TANZANIA imepoteza wapiganaji wake – wenye vyeo vya juu jeshini – mabrigedia jenerali watano – ndani ya wiki mbili kutokana na kile kinachoelezwa na serikali kuwa ni changamoto ya upumuaji.
analects utani/mchezo kwenye mauti
 
Mambo mazito kama haya yanahitaji watu wenye IQ kubwa na sio hako ka IQ kako ambako hakawezi kukuongoza kuandika kitu kilicho sahihi!
Ooh kumbe iko hvy mkuu muda huuu ni kauli mbiu inajulikan kabisa kuwa ugonjwa upo ndio lakini kila uzi unakuja na swal la kujilinda mbn hiyo juu inafahamika au muhimu ningeona unasem jilinde unakuja na kitu kipya kilichotokea katika ulimwengu huu sio kujilinda kujilinda mbn wote twajua hum bhn
 
Inashangaza sana Mkuu. 5 minutes ago nimeweka hii article kwenye jukwaa la siasa ili kuzidi kuwafumbua macho na akili Watanzania lakini kwa mshangao wangu imefutwa!

Corona yapukutisha majenerali wa jeshi watano ndani ya wiki mbili​

8fb5c685f4505904071d00c3086f6956

Felicita Felix 8th February 20210 Comments

TANZANIA imepoteza wapiganaji wake – wenye vyeo vya juu jeshini – mabrigedia jenerali watano – ndani ya wiki mbili kutokana na kile kinachoelezwa na serikali kuwa ni changamoto ya upumuaji.
wameogopa kusakamw, lkn ulikuwa ujumbe mwema
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna watu wangekua wameanza kutorokea ulaya, shida huko ndo balaaa tupu
 
analeta utani/mchezo kwenye mauti
Ninachukua taadhali and ninachoshukuru Mungu mimi mama yangu ni staff amefanya hapa temeke hosp kazi miaka 30 now amestaafu so because of that sijalazwa changanyikeni offcorse ni wodi moja lakn mimi nmelazwa kwenye chumba speciall ambapo hua wanalazwa staff na kwenye hiki chumba nina lala pekeangu na kuna choo pia... But then niko makini na nmeomba discharge sababu naendelea vzr nitapona mbele kwa mbele huko home
Ps: kwenye hiki chumba kuna dirisha la kioo transparent ndo ninaona wagonjwa wa covid wanavokuja kila sekunde na mitungi ya gesi inaletwa kila saa huku wodini ....then i decided kuwa ambia hali halisi namna ilivo Tuombe Mungu , na pia tuchukue taathari sana mfano jana tu nmeona wafungwa wa magereza wanashushwa 6 walikuwa na police wanaowalinda na wote ni covid case
 
Hao wanaosema COVID 19 haipo nadhani haijawapata ila ikiwapata nadhani kila mtu atachukua tahadhari.

NB: TANZANIA SIO KISIWA
 
Ninachukua taadhali and ninachoshukuru Mungu mimi mama yangu ni staff amefanya hapa temeke hosp kazi miaka 30 now amestaafu so because of that sijalazwa changanyikeni offcorse ni wodi moja lakn mimi nmelazwa kwenye chumba speciall ambapo hua wanalazwa staff na kwenye hiki chumba nina lala pekeangu na kuna choo pia... But then niko makini na nmeomba discharge sababu naendelea vzr nitapona mbele kwa mbele huko home
Ps: kwenye hiki chumba kuna dirisha la kioo transparent ndo ninaona wagonjwa wa covid wanavokuja kila sekunde na mitungi ya gesi inaletwa kila saa huku wodini ....then i decided kuwa ambia hali halisi namna ilivo Tuombe Mungu , na pia tuchukue taathari sana mfano jana tu nmeona wafungwa wa magereza wanashushwa 6 walikuwa na police wanaowalinda na wote ni covid case
asante sana mpendwa
 
Back
Top Bottom