and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,512
- 40,350
Wadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo ya ukoo mzima. Sijui Kodi, michango ya kitchen party, send off, misiba,ubatizo na harusi. Hata sisi tuna yetu jamani.
NB: La ajabu hata majimama nayo ya Njaa tofauti na zamani walikuwa walezi wa wana
NB: La ajabu hata majimama nayo ya Njaa tofauti na zamani walikuwa walezi wa wana