Hakuna jinsi mwanamke asikutawale ikiwa anakuzidi Pesa

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,544
15,216
Kwa mujibu wa Vitabu vya imani dhambi iliingia duniani siku ambapo Mwanamke alimletea Chakula mwanaume. (Tunda).

Kunauhusiano Mkubwa kati ya pesa na kutawala. Ndio maana hata kwenye ukoo mwenye pesa hutawala. Duniani nchi tajiri US hutawala. Shule ya mwingi mtoto mwenye pesa nyingi ndiye unakuta wengi wanamfuata (Shule zetu za uswazi).

Mwanaume usilazimishe utaaribu. Hii ni formula wewe ulipaswa ujue hii formula. Tafuta pesa kimya kimya au kubali kutawaliwa. Na ukisemwa unatawaliwa na mkeo usianze ugomvi, ni formula mwenye pesa kutawala asiyenazo.

Mwanamke mwenye Busara katika hali hii hukabidhi Fedha zote kwa mumewe ili atawaliwe kama ilivyompango. Ila atafanya hivyo kama Mume anajitambua.

Yote kwa Yote, usiulize kwa nini wanawake kwenye pesa wanalaumiwa kutawala waume zao. Ni formula hiyo hakuna Namna. Mwanaume tafuta pesa au mshawishi zake ziwe zako na azipate kutokea kwako ili maisha uaende kwa mtelemko.

Naomba kuasilisha
 
It's not true.

Mwanamme simama imara usiyumbishwe na vijisenti.

Ulishamuonyesha mwanamke unababaikia hela zake hapo ndio atakulia timing na kukuchorea ramani ya kukunyoosha.

Whoop that ass, make her say your name and let her know who Daddy is.
 
It's not true.

Mwanamme simama imara usiyumbishwe na vijisenti.

Ulishamuonyesha mwanamke unababaikia hela zake hapo ndo atakulia timing na kukuchorea ramani ya kukunyoosha.

Whoop that ass, make her say your name and let her know who Daddy is.

Hili swala ni gumu ndugu yangu Karusii. Unasimamaje imara ilihali mfukoni huna kitu? Hizo nguvu za kusimama imara unazitolea wapi kwa mfano?

Mi nafikiri solusheni ni wanaume tupambane sana kutafuta hela na pia tuchukue wanawake wa levo zetu. Hela kwa kawaida huwa inaleta kiburi sio tu kwa mwanamke bali hata kwa mwanaume so ukitaka kuishi kwa amani hakikisha tu mfukoni upo vizuri. Kinyume na hapo hata uki wup zat ass utaonekana kama unacheza tuu wala hautajulikana kama wee ni dadi.
 
Hili swala ni gumu ndugu yangu Karusii. Unasimamaje imara ilihali mfukoni huna kitu? Hizo nguvu za kusimama imara unazitolea wapi kwa mfano?

Mi nafikiri solusheni ni wanaume tupambane sana kutafuta hela na pia tuchukue wanawake wa levo zetu. Hela kwa kawaida hua inaleta kiburi sio tu kwa mwanamke bali hata kwa mwanaume so ukitaka kuishi kwa amani hakikisha tu mfukoni upo vizuri. Kinyume na hapo hata uki wup zat ass utaonekana kama unacheza tuu wala hautajulikana kama wee ni dadi.
Utasimamaje imara wakati huna pa kusimamia.
Hii ni kanuni, tukubali kusaka mahela wakuu. Au tuombe mbinu za kupindua mahela ya wife uyateke kisaikolojia yatokee kwako hata kama yeye ndiye anapokea.

Hapa inabidi asiwe na akili ya kuongozwa na wapambe na Ndugu zake
 
Sasa Hawa wanawake huwa mnawapataje mpaka mnawaweka ndani bila kuwachunguza?

Hapo kwa level nakubali Ila Hawa Hawa wanawake wakizeeka wanaombaga poo wenyewe.
 
KWANI JAMN KUNA TATIZO GANI KMA MWANAMKE AKIKUZIDI PESA? WE ENDELEEA TU KUTAFUTA BRO! KWANI KUNA MAHUSIANO GANI KATI YA PESA YA MWANAMKE NA KUACHANA? MWACHE AMILIKI PESA WW ZITAFUTIE MIRADI HYO MENGINE NI MATOKEO! KIUMBE YYTE AKIWA NA PESA ANAKUWA NA KAULI USIOGOPE KUTAWALIWA.. :)
 
Sasa Hawa wanawake huwa mnawapataje mpaka munawaweka ndani bila kuwachunguza?

Hapo kwa level nakubali Ila Hawa Hawa wanawake wakizeeka wanaombaga poo wenyewe.

Mara nyingi unaweza kukuta wakati mapenzi yanaanza hakuwa na hela, na mambo yalikua mazuri tuu. Lets say umeanzana na mdada wakati akiwa mwanafunzi chuo au labda akiwa hana kazi. Huku na huku mara kalamba ajira tiaraei kitengo cha kukusanya madeni! Hapo sasa ndio shida zinapoanzia mtu anabadilika kabisa. Ikishafika hapo kama mwanaume huna hela cha maana ni kuachia ngazi tuu na kurudi kutafuta kwenye grass root level.
 
Mara nyingi unaweza kukuta wakati mapenzi yanaanza hakua na hela, na mambo yalikua mazuri tuu. Lets say umeanzana na mdada wakati akiwa mwanafunzi chuo au labda akiwa hana kazi. Huku na huku mara kalamba ajira tiaraei kitengo cha kukusanya madeni! Hapo sasa ndio shida zinapoanzia mtu anabadilika kabisa. Ikishafika hapo kama mwanaume huna hela cha maana ni kuachia ngazi tuu na kurudi kutafuta kwenye grass root level.
Poleni wanaume kwa kuumbiwa mateso.
 
inferiority complex
Kuna ndoa itatiana talaka siku so nyingi sababu ni mwanaume kaishiwa pesa huku mwanamama kapandishwa cheo.

Akiulizwa mwanamke anasema Nimechoka kukaa na mwanaume mzigo

Akiuliza mwanaume anasema, wakati Niko vizuri ukoo wake wote Mimi nilikuwa naendesha. Hata KAZI aliyo nayo nimefanyia mchongo Mimi, Mara Tatu anataka kufukuzwa namkingia mgongo hata kwa kudanganya.

Ukisikiliza utagundua mwanaume anataka kutawala wakati hana kitu na mwanamke anataka kumuadhibu maana anajua hana cha kufanya.

Hekima ikipingua kwa mwanamke katika hali hiyo, pesa inavunja ndoa.
 
Huyu sasa ni mpumbavu na selfish sana...mjinga wa mwisho
 
Mwanamke anayo nguvu ya kukutawala kama humtoshelezi, kama una mapungufu au magonjwa au matatizo kwenye kwichikwichi. Ila kama upo vizuri kwenye ile sector hata kama amekuzidi hela na kisomo, utamburuza kama tambara bovu kwasababu anajua akikukosa hatakupata tena na hautakosa wa kuishi naye.
 
Kuna ndoa itatiana talaka siku so nyingi sababu ni mwanaume kaishiwa pesa huku mwanamama kapandishwa cheo.

Akiulizwa mwanamke anasema Nimechoka kukaa na mwanaume mzigo

Akiuliza mwanaume anasema, wakati Niko vizuri ukoo wake wote Mimi nilikuwa naendesha. Hata KAZI aliyo nayo nimefanyia mchongo Mimi, Mara Tatu anataka kufukuzwa namkingia mgongo hata kwa kudanganya.

Ukisikiliza utagundua mwanaume anataka kutawala wakati hana kitu na mwanamke anataka kumuadhibu maana anajua hana cha kufanya.

Hekima ikipingua kwa mwanamke katika hali hiyo, pesa inavunja ndoa.
Tupe mkasa kamili kuhusu hii mada ili tuidadavue
 
Utasimamaje imara wakati huna pa kusimamia.
Hii ni kanuni, tukubali kusaka mahela wakuu. Au tuombe mbinu za kupindua mahela ya wife uyateke kisaikolojia yatokee kwako hata kama yeye ndiye anapokea.

Hapa inabidi asiwe na akili ya kuongozwa na wapambe na Ndugu zake

Kama huna pa kusimamia, simamia ukucha!
 
mwanamke anayo nguvu ya kukutawala kama humtoshelezi, kama una mapungufu au magonjwa au matatizo kwenye kwichikwichi. ila kama upo vizuri kwenye ile sector hata kama amekuzidi hela na kisomo, utamburuza kama tambara bovu kwasababu anajua akikukosa hatakupata tena na hautakosa wa kuishi naye.
Bwana bwana.. mwanamke hata umtie kiasi gani kama huna hela ni swala la muda tuu lazima atakupiga chini! Ndio, mwanzoni utampagawisha sana na atakuganda lakini baada ya muda anazoea mkuyenge na hapo anaanza kuwaza fyucha na mambo mengine ya maana. Akitokea mwenye hela mzee unapigwa chini asubuhi na mapema..
 
Back
Top Bottom