Nimepata mdada wa kazi, nipeni mbinu ili niishi naye vema

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,476
26,956
Wakuu!

Leo ni siku ya kwanza, kawasili jana usiku nami nimeamkia mihangaiko yangu. Kwa haraka haraka nilivyomuona anafaa, sasa sina uzoefu nifanyeje ili kumwongoza vizuri na kuboresha kazi zake.

Uzoefu wenu tafadhali, sitaki kuwa tatizo kwake.
 
Muelekeze jinsi nyumba yako unavyotaka iendeshwe..

1. Unataka chakula kiwe tayari saa ngapi kwa muda wa asubuhi, mchana na usiku

2. Kama hutaki vyombo vichafu vilale mpaka kesho ni vema ukaweka sawa

3. Muelekeze kama atahitajika kupiga deki nyumba kila siku au baadhi ya siku ili kumpunguzia uchovu

4. Muelekeze vitu vingine ambavyo ungependa avifanye maana usipomuelekeza hatovifanya na utaishia kumfokea tu kumbe yeye hafahamu kama unataka vifanywe.

5. Jitahidi vitu vingine vidogo vidogo uwe unafanya mwenyewe kama kufuta vumbi la TV maana anaweza akalowesha screen akakutia hasara.

6. Akikukwaza muite muelekeze, usimnunie wala kumrushia maji usoni, huo utakua unyanyasaji.

7. Na la msingi kuliko yote mlipe mshahara kwa wakati.
 
Kwani unaishi vipi na watoto wako? Kwa nini haukuuliza jinsi ya kuishi na watoto wako ama wafanyakazi wenzio kazini?

Kazini kila mtu na time zake, watoto ni wangu.... huyu mdada ni mgeni na nasikia ilivyo changamoto zao.
 
Muelekeze jinsi nyumba yako unavyotaka iwe iendeshwe..

1. unataka chakula kiwe tayari saa ngapi kwa muda wa asubuhi, mchana na usiku

2. Kama hutaki vyombo vichafu vilale mpaka kesho ni vema ukaweka sawa

3. Muelekeze kama atahitajika kupiga deki nyumba kila siku au baadhi ya siku ili kumpunguzia uchovu

4. Muelekeze vitu vingine ambavyo ungependa avifanye mana usipomuelekeza hatovifanya na utaishia kumfokea tu kumbe yeye hafahamu kama unataka vifanywe.

5. Jitahidi vitu vingine vidogo vidogo uwe unafanya mwenyewe kama kufuta vumbi la TV mana anaweza akalowesha screen akakutia hasara.

6. Akikukwaza muite muelekeze, usimnunie wala kumrushia maji usoni huo utakua unyanyasaji.

7. Na la msingi kuliko yote mlipe mshahara kwa wakati.

Asante sana ankali!
 
Kubwa kuliko ni kutambua kuwa 'hakuna mkamilifu kwa kila kitu'

Mapungufu yake ukihisi huwezi kuyavumilia ni bora ukamrudisha ulipomtoa kwa amani
 
Wakuu!

Leo ni siku ya kwanza, kawasili jana usiku nami nimeamkia mihangaiko yangu. Kwa haraka haraka nilivyomwona anafaa, sasa sina uzoefu nifanyeje ili kumwongoza vizuri na kuboresha kazi zake.

Uzoefu wenu tafadhali, sitaki kuwa tatizo kwake.
oooooh!!!!! Mzee mwenyewe single father. Ana umri gani? Umemtoa wapi?
 
Huyo unamkula, siku wife akisafiri ila kuwa makini usije fumwa. Angalizo ukimpa mimba atakuwa sekandi waifu.
 
Muelekeze jinsi nyumba yako unavyotaka iendeshwe..

1. unataka chakula kiwe tayari saa ngapi kwa muda wa asubuhi, mchana na usiku

2. Kama hutaki vyombo vichafu vilale mpaka kesho ni vema ukaweka sawa

3. Muelekeze kama atahitajika kupiga deki nyumba kila siku au baadhi ya siku ili kumpunguzia uchovu

4. Muelekeze vitu vingine ambavyo ungependa avifanye mana usipomuelekeza hatovifanya na utaishia kumfokea tu kumbe yeye hafahamu kama unataka vifanywe.

5. Jitahidi vitu vingine vidogo vidogo uwe unafanya mwenyewe kama kufuta vumbi la TV mana anaweza akalowesha screen akakutia hasara.

6. Akikukwaza muite muelekeze, usimnunie wala kumrushia maji usoni huo utakua unyanyasaji.

7. Na la msingi kuliko yote mlipe mshahara kwa wakati.
8. Chumba chako hakikisha unakifanyia usafi mwenyewe ikiwa pamoja na kufua boxer zako mwenyewe.

9. Jua ni binadam pia kwahiyo mtreat kama unavyo treat wanao na ndugu zako.

10. Mpe heshima kama unavyo heshimu wengine, heshimu kuanzia kazi yake had yeye mwenyewe.

11. Punguza maneno au mazingira ya kumfanya ajione unamtenga. Wakat wa kula mle pamoja wote sehem moja pamoja na familia yako ili na yeye ajione nisehem ya wanafamilia
 
Wakuu!

Leo ni siku ya kwanza, kawasili jana usiku nami nimeamkia mihangaiko yangu. Kwa haraka haraka nilivyomwona anafaa, sasa sina uzoefu nifanyeje ili kumwongoza vizuri na kuboresha kazi zake.

Uzoefu wenu tafadhali, sitaki kuwa tatizo kwake.
Kama ni mrembo basi jiepushe na haya,
1.Usimuangalie kifuani,
2.Usimuangalie mgongoni,
3.Mpe elimu ya kutokutoa maneno ya ndani na kupeleka nje.
4.Usimfanye kama mfanyakazi bali awe ni kama ndugu..
Hakika utadumu naye...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom