Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,764
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
 
Hapo ni sawa na kuwaambia waislamu wasitumie zile horn speaker kwenye misikiti. Ngumu sana hao watu kukuelewa kwa hilo.
Afadhali wale wanatumia kwa muda mfupi hasa wanapojulisha muda wa ibada. Baada ya hapo kimya hadi muda unaofuata.

Huyu mleta mada anazungumzia kero ya hawa wanaokesha huku wakipiga kelele wakati wa ibada zao
 
Kama ni mimi ni lazima nimutarifu afisa mazingira wa wilaya maana hizo kelele ni uchafuzi wa mazingira, na pia sio kila sehemu panafaa kuweka kanisa, kuna maeneo maalum ya kuweka nyumba za ibada.
 
Serikali ilishatoa mwongozo kuwa maeneo ya kuabudu yawe mbali na makazi ya watu.

Kiukweli wanakera Sana, ila waislamu tushazoea muda mwingine hutusaidia kuamka kwenda mihangaikoni.

Ila walokole wanaamini ukiwashauri wasipige makelele wewe una mapepo unastahili maombi[emoji23][emoji23]
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Hatuwezi.
Tena Kuna mistari ya kutupa nguvu

Yeremia : Mlango 33​

3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.

Hivi huwa mnaita kimoyomoyo au kwa sauti?

Zaburi : Mlango 50​

15 Ukaniite siku ya mateso;Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Kunya anye kuku akinya Bata kaharisha,

Ile azana ya saa 11 mnasema inawaamsha kama alarm vile ila hii ya walokole inawasumbua.
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Afadhali nyie hamlali kwa kuombewa rehema, Toba, neema na baraka.
Sisi hatulali kwa makelele ya muziki wa baa
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Na mimi napenda kuuliza hivi watu wa disco bar na matamasha ya muziki hamuwezi fanya mambo yenu kimyakimya? Maana majirani tunapata tabu sana hatulali kwa makelele ya muziki na wlevi au watoka disco usiku.
 
Serikali ilishatoa mwongozo kuwa maeneo ya kuabudu yawe mbali na makazi ya watu.

Kiukweli wanakera Sana, ila waislamu tushazoea muda mwingine hutusaidia kuamka kwenda mihangaikoni.

Ila walokole wanaamini ukiwashauri wasipige makelele wewe una mapepo unastahili maombi[emoji23][emoji23]
Misikiti iko umbali kutoka kwenye makazi ya watu? Hata ikiwa mbali, mmefu ga loud speaker, wengine wanatumia loud speaker zenu kugongana kimoja chabasubuhi
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Mkuu tuko jirani nini? Yaani mpaka muda huu ni hakulaliki full fujo.
Hapa nilipo kila ijumaa wanakesha.
 
Back
Top Bottom