Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,610
Wanasaikolojia wanadai njia rahisi ya kutambua kama mtu fulani anavutiwa nawe ni furaha anayokuwa nayo pale anapokuona na urahisi wa wewe kumchekesha au kumfurahisha.
........................Haya sasa kabla ya kwenda kutoa sera zako kwa binti au kijana wa watu na kwa wale pia ambao wapo kwenye mahusiano angalia kwanza kama mtu huyo mkikutana anakuwa mwenye furaha au huzuni.
Chanzo; Tiba Fasta