Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam kwenu wote watumizi wa JamiiForums. Kabla ya yote ningependa nifafanue Kichwa cha huu Uzi kinacho eleza zaidi upendo wa wanaume kwa wanawake, Kwa hali ya kawaida mwanaume huwa anapenda...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu, naomba mnipe tafsiri juu ya jambo hili. Kuna demu nilikuwa namtokea tokea bahati nzuri kiasi tukawa tunaenda vizuri ktk mawasiliano yetu ingawa kuna kipindi cha hapa mwisho mwisho...
3 Reactions
78 Replies
9K Views
Mwanaume anakutongoza leo Leo na hapo hapo unaanza kutangaza shida.Kuomba kwa mpenzi siyo mbaya, ila mmezidi sana. Utapewa unachotaka lakini hakuna kuweka kambi.Fanya uchunguzi mpaka vijijini...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Wadau nahitaji kufahamu mwanamke mwenye malengo kwako ni wa aina gani.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Sifa zangu Umri miaka 30 Kazi mwajiriwa Nna watoto 3 Sifa zake Awe ana hofu ya Mungu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za muda huu? Leo nimeamua kuja na hii kitu ambayo inatokea kila uchwao. Kila harusi niliyowahi kuhudhuria na hata zile ambazo sihudhurii bali nangalia kwenye kideo naonaga lazima bibi...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki...
9 Reactions
108 Replies
11K Views
Natafuta rafiki wa kike awe mcheshi, asiwe na mambo mengi. Elimu yoyote ile. Mweupe kidogo. Umri kuanzi 20 hadi 30. Asiwe ameolewa. Awe tayali kubadilishana mawazo ya kimaendeleo. Mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Hebu njoo hapa ujibu kama baby....
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda...
6 Reactions
95 Replies
11K Views
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya...
24 Reactions
149 Replies
13K Views
Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwanza kabisa poleni na majukumu wakuu lakini pia HAPPY EASTER. Kama tittle inavyosema hapo juu kwamba ni sahihi kama mtu wako humuelewi tena au umechoshwa na matendo yake [boyfriend&girlfriend]...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa! Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia jukwaa hili kwa ukaribu Sana, asilimia kubwa ya wadada watafuta mume ni wakiristo, inakuwaje hii.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninahitaji mchumba miaka 25-27 awe mwenye hofu ya Mungu awe mwenyewe kujitambua kuwa ye2 ni nani? na anataka kufika lengo gan? asiwe amezaa anitafute nipo serious namba ya simu 0672585133
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu...
19 Reactions
239 Replies
51K Views
Back
Top Bottom