Wasichana baadhi mnajidhalilisha (omba omba)

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Mwanaume anakutongoza leo Leo na hapo hapo unaanza kutangaza shida.Kuomba kwa mpenzi siyo mbaya, ila mmezidi sana. Utapewa unachotaka lakini hakuna kuweka kambi.Fanya uchunguzi mpaka vijijini wanawake ni zaidi ya matonya.

Jiheshimuni buana
 
Mwanamke akifanya hivo, huwa naweka hisia pembeni.
Nasimama nakichwa cha juu, namsuta hadi aombe msamaha akizingua na matusi anakula.
🤒🤒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom