Haya mapenzi jamani haya

Toosie Slide

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
714
1,000
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno

Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!

Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa

Mapenzi ni maumivu makali

Mapenzi ni furaha kubwa

Wapo matajiri wanaocheka na kulia, wapo masikini wanaocheka na kulia

Ukimpenda atakupuuza, unaempuuza anakupenda

Unaweza kupenda ukaona kasoro

Kuna kasoro zinavunja moyo zinaumiza na zinatesa mno

Mapenzi yamekua ubinafsi watu hawafikirii wengine wanajiangalia wao peke yao

Unawaumiza wengine, wanakuumiza wengine

Mapenzi mapenzi mapenzi.
Copy & paste
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom