Je, hili ni sahihi?

Je, hili ni sahihi?

tompoo

Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
42
Reaction score
25
Kwanza kabisa poleni na majukumu wakuu lakini pia HAPPY EASTER. Kama tittle inavyosema hapo juu kwamba ni sahihi kama mtu wako humuelewi tena au umechoshwa na matendo yake [boyfriend&girlfriend] yaani n mwendo wa maumivu per day n fresh kumchana kuwa "sikuhitaji tena" au ni bora ukasepa kmy kmy...? [emoji848]

Naomba tusaidiane mawazo hapa wakulungwa
 
Wazee tunywe bia maombolezo yameisha
 
Kwa ustaarabu mzuri ni kusepa kimya kimya baada ya kufanikiwa kufika sehemu salama kwako mtumie ujumbe ukimuelezea sababu iliyokufanya ukaachana nae, then badilisha namba kuepuka usumbufu wa mara kwa mara
 
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
thanks blood
 
Kwanza kabisa poleni na majukumu wakuu lakini pia HAPPY EASTER,
Kama tittle inavyosema hapo juu kwamba ni sahihi kama mtu wako humuelewi tena au umechoshwa na matendo yake [boyfriend&girlfriend] yaani n mwendo wa maumivu per day n fresh kumchana kuwa "sikuhitaji tena" au ni bora ukasepa kmy kmy...?
emoji848.png

Naomba tusaidiane mawazo hap

Kamwe usije ukajaribu kuvunja penzi au kumuacha mtu ukiwa una hasira,furaha,umemchoka au maneno ya watu utakuja kuumia vibaya mnoo siku ukigundua ulifanya makosa baada ya akiri zako kukaa sawa .

Njia pekee ambayo ni bora ya kabla ya kuvunja mahusiano ni kupeana likizo kwa kipindi takribani miezi 6 au mwaka baada ya kujitafakari na mwenzio baada ya kila mmoja akiri kumkaa sawa na kuona umuhimu wa mwenzie
 
Umenena vyema mkuu
 
Umeshakunywa uji mokaze?

Nimekunywa chai na maandazi.

Nimejibu swali lako sasa na mimi jibu swali langu.je sikuzote wewe na huyo Girlie wako Mmekuwa mnafanya uzinifu??
 
Nimekunywa chai na maandazi.

Nimejibu swali lako sasa na mimi jibu swali langu.je sikuzote wewe na huyo Girlie wako Mmekuwa mnafanya uzinifu??
[emoji23][emoji23]hukuwah kuptia hii stage kwan ya kuw na girlfriend b4 hujaoa?
 
Haya bhana..

Kuna siku niliwahi kusema kuna mtumishi walikuwa wanahimiza mwanaume awe na girl friend pia mwanamke awe na boy friend...nikauliza hapa huyu mtumishi si anahalalisha zinaa? Nakumbuka nilipingwa sana.

Kumbe haya mambo hayana urafiki...au sijui mchumba sijui nini piga ua lazima gono itembee tuu!

Cha muhimu kama mtu akiamua kuwa baridi ni kuwa baridi.......kama ni moto ni kuwa moto.

Jibu kwako mleta mada......Kaa myamalize,ikishindikana unajitoa polepole tuu itaeleweka mbele ya safari
 
Back
Top Bottom