Mabibi harusi hivi mnalizwaga na nini siku ya harusi?

Mabibi harusi hivi mnalizwaga na nini siku ya harusi?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,670
Habarini za muda huu?

Leo nimeamua kuja na hii kitu ambayo inatokea kila uchwao.

Kila harusi niliyowahi kuhudhuria na hata zile ambazo sihudhurii bali nangalia kwenye kideo naonaga lazima bibi harusi amwage chozi.

Yaani either iwe katikati ya shughuli au mwanzo au hata mwisho lazima alie.

Hivi mnakuwaga mnalizwa na nini hasa? Ebu leo mtufafanulie tuelewe yani vile vilio vinakuwa vinatokana na nini hasa?
 
Kulia kunaashiria chombo imekubali

Yaani ukikanyaga breki imo, ukikanyaga mafuta imo,

Lakini zile bakora kwenye upya wa ndoa akifikiria hatokuwa na kisingizio chochote ni balaaaaaa
 
Hapo Kuna mawili,matatu au zaidi;Mosi inawezekana ni furaha aliyonayo kwasababu hakutegemea kupata mume wa kufunga nae ndoa,pili inawezekana kalazimishwa au kajilazimisha kuolewa na jamaa hivyo anaumia kwamba hivi itakuwaje?,na tatu inawezekana anajua jinsi alivyochit.Yaani amedanga Sana Hivyo Hivyo km alama ya kumshukuru Mungu kwa Upendeleo huo anakuwa analia.
 
Hivi wale wa zamani walikua wanalilia nini nao? Au unaa tu....
Siku hizi hawalii, bi harusi anakata uno hadi ba mkwe anainamisha kichwa chini.
Bi harusi anagonga tano kanisani
Cc Lulu na jizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikuwa wanalazimishwa, hivyo walilia na mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom