Hivi ni kwasababu ya geto au akili ya mtu tu kuendekeza uzinzi?

Oct 29, 2020
93
150
Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana ,Ni nzuri na za Hofu ya Mungu Kwa kiasi flani Ila Cha kushangaza wengi wao wakipata neema ya kuhama kwao na kupanga chumba nk.

Huwa Wanapatwa cjui na nini ,Yaan wanabadilisha mademu kila kukicha humo magetoni mpaka wengine unaona bora wangebaki kwao mpaka akili itulie vzr kdg .Huwa najiuliza ni haya mageto ndio yanawapa amsha amsha ya kunyandua watoto wa watu au ni mtu mwenyewe tu , Maana wengi tabia ya uzinzi wameanza baada ya kusepa kwako na kuanza kuishi magetoni...Nipe experience yako mwana JF kwa nn wana wengi wana change behavior hata kama alikuwa na demu mmoja ..cha ajabu baada ya kuwa na geto basi anabadilisha kama nguo.

Uzi nawasilisha
 

captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
547
1,000
Ni tabia ya mtu ambapo kwa sasa imechangiwa sana na mtindo wa maisha pamoja na kukosa hofu ya MUNGU. Kwa miaka ya hivi sasa mvulana/msichana kuwa kwenye mahusiano na msichana au msichana zaidi ya mmoja imekua kama fashion. Ila kwa mtu ambae ana hofu ya MUNGU sizani kama anaweza kufanya hicho kitu..
 

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
3,789
2,000
Hakuna maisha ya upweke kama ya geto ndo maana wengi wanaoa au wanaishi na mwanamke baada ya mda mfupi kukaa geto
 

Omukailee

Member
Jul 20, 2020
35
125
Asikwambie mtu getto linavishawishi vingi sana..lkn pia madem wenyew wanavutiwa sana na mamen wanaokaa geto kwahyo mabadiliko hayo ni automatic yan
 

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,529
2,000
Kama huna cha kujibu kama mimi jaribu kureflesh uone comments za chini kabla hujaenda kusoma thread ingine!
 

Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
4,602
2,000
Sababu sio tabia... Ila ni ule uhuru mtu anaoupata baada ya kuwa mwenyewe kujitegemea...

Ndipo tabia halisi ya mtu huonekana pale...

Ukiwa na Ghetto utaelewa somo kwa vitendo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom