Je, ni sawa kuoa na kuishi kwenu na mke wako?

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda nyumbani na familia yangu.

Wazazi wameniomba nihamie nikae hapo. Je, kimaadili ni sawa? Nahofia pia mama na mke. Je, hawatakuja kugombana wakikaa karibu?

Naombeni ushauri 😀
 
Kuhamia kwako hapo kutawasaidia nini sasa cha ziada ambacho huko ulipo huwezi? Mi nimekuelewa vizuri sana - sasa fanya hivi, wewe hamia coz hata nikikuambia usihamie huna namna lakini mambo yako yakikaa sawa, nenda kwako/ tafuta kwako.

What am sure is, hata hao wazazi walikuwa na wazazi wao lakini walikomaa na kwao na si kwenda kuishi kwa babu zako
 
Ni pale tu inapobidi,lakini kama ni swala la kukaa nao tu bila sababu ya msingi sikushauri...
 
Back
Top Bottom