Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana.
Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu.
Sasa hivi mkichati kidogo tu...
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika.
Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na...
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.
Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio...
Habari wakuu.
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa...
Ukitaka sherehe ujipange sawa sawa.
Hakikisha una pesa ya kutosha kuchukua gharama za sherehe pale Mambo yanapoenda tofauti.
Vinginevyo utajikuta unawachukia watu kisa hawajakuchangia wakati sio...
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu.
Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili...
WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa...
Kwamba ukirejea Nyumbani Kwako au ukikutana tu na Mkeo au Mpenzi wako na ukaona amechangamka sana huku amezidisha Mahaba ( Upendo ) Kwako hapa ina maanisha ametoka Kukusaliti au anaenda Kukusaliti...
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa,
Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22...
Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo...
Mtie moyo, shika mkono wake, ongea naye taratibu na umuoneshe jinsi ya kuvuta pumzi nyingi na kuachia polepole
Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji na kuwasiliana na wengine
Za jioni wakuu,
Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa...
Ndugu zanguni members wenzangu me ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nasijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote na sio kwamba labda nina tatizo la hasha ila tu nimeamua iwe hivyo mpaka pale...
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua...
Habari wadau.
Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi.
Kwanini? Hebu...
Hello,
Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara.
Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua...
Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.