Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara? Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti...
65 Reactions
342 Replies
52K Views
Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja. Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu...
62 Reactions
104 Replies
12K Views
Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenzi, ungejisikiaje? Leo mwana JF mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya...
25 Reactions
402 Replies
41K Views
Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Huyu jamaa alipotea toka may 15 mwaka jana na tuliachana naye pale Mabibo Hostel kifupi jamaa ali graduate Mzumbe akaja Dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama ilivyo Mahusiano kufa pia Mahusiano hubadilika uliyemuamini juzi leo haaminiki tena mpka unashangaa lakini ni muhimu tu kujua kuwa Mahusiano yanabadilika wapo watu wapo kwenye ndoa lakini nje...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu, mimi ni kijana mwenzenu msomaji mzuri sana humu ila si muanzishaji sana wa nyuzi kuna jambo kidogo huwa linanitatiza wanawake niliowahi kuwa nao wengi huwa na mambo mengi yaani...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu ipo hivi nilisafiri toka Jutano mkoa fulani plan ya kurudi ilikuwa Jumamosi kesho jioni lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jioni. Sasa...
28 Reactions
375 Replies
38K Views
Amini mkuu, mwanamke ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza....Hakujui nawe haumjui. Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada...
7 Reactions
42 Replies
8K Views
Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa. What...
2 Reactions
65 Replies
17K Views
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapendwa habarini za kazi, nipende kwenda kwenye hoja yangu, wazazi wengi huwa wanasomesha watoto kama ni sehemu ya uwekezaji wao ili baadaye mtoto akipata kazi amtegemee kwa kila kitu. Binafsi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Barua hii imenikumbusha mbali sana...! Kupendwa Raha Sana.....
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli. Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila...
32 Reactions
672 Replies
48K Views
Back
Top Bottom