Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau eeh! Its time. Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo. Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa...
5 Reactions
127 Replies
18K Views
Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Na imani mu wazima wa afya Kama kawaida tupatapo upenyo lazima tulete story kijiweni ili kijiwe kizidi kunoga kwa sisi wazee wa mitandaoni [emoji2956] Basi kipindi hicho Ni kijana mdogo ndio...
4 Reactions
10 Replies
12K Views
Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi nimeoa yapata miaka 5 sasa na tumejaliwa watoto wa 3 katika ndoa yetu na mke wangu, sasa shida inakuja imetokea nimefanya kosa na kuomba msamaha kwa mke wangu, itachukua hata siku 4 au 5...
4 Reactions
69 Replies
12K Views
Habari wakuu Kuna binti tulikua kwenye mahusiano kama mwaka mzima ila niliamua kuyavunja baada ya kutoridhishwa na mambo flani yaliyotokea mbeleni. Sasa baada ya kuachana kuna line nyingine ya...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari za siku wana JF, Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la nchi, Kupitia magroup fulani fulani huko Facebook na mtaani,nimeona kwa sasa ni kawaida kukutana na mtu mwenye majina ya pande mbili za kiimani. Mfano, Josephat Rashidi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe...
7 Reactions
45 Replies
7K Views
Kama ilivyokuwa 2020 vijana wengi waliowahi kuishi ndani ya mahusiano ya muda mrefu mengi yalivunjika na asilimia kubwa tulioumia ni sisi wanaume kwani hakuna kitu kinachouma kama kumuona mpenzi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, Umofia kwenu! Mimi ni mwanaume mtu mzima kidogo, yaani miaka 44 hv.nimeoa na nna watoto. Mwaka 2015 hapa nyumbani kwangu nilipata shida ya msichana wa kazi za nyumbani, yule...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT )...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu? Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo! Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui Mungu amepanga nini...
7 Reactions
195 Replies
15K Views
TAMBUA JINSI RANGI ZINA NGUVU ZA KUCHOCHEA HALI AU TABIA YA MTU. Rangi ni zana inatumika katika Saikolojia ya chochea hali au tabia ya mtu au watu siku hadi siku.Rangi inachukua nafasi kubwa...
1 Reactions
7 Replies
25K Views
Ndio mimi nilieleta uzi humu ya kuwa nilimuacha lkn hisia juu yake zikiwa bado ni kali sana Nilijutia kumuacha na nikaona ya nini niumie angali badonampenda!, nimemrudia na mapenzi hivi Sasa ni...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!. Kusema kweli Grace sijapenda tabia...
32 Reactions
67 Replies
8K Views
Wana MMU, Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe. Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye...
8 Reactions
207 Replies
24K Views
Back
Top Bottom