J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 703 Reaction score 1,225 May 31, 2021 #1 Mtie moyo, shika mkono wake, ongea naye taratibu na umuoneshe jinsi ya kuvuta pumzi nyingi na kuachia polepole Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji na kuwasiliana na wengine
Mtie moyo, shika mkono wake, ongea naye taratibu na umuoneshe jinsi ya kuvuta pumzi nyingi na kuachia polepole Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji na kuwasiliana na wengine